Kushindwa kwa UKAWA, anguko la CHADEMA. Mapinduzi ya CCM

Kushindwa kwa UKAWA, anguko la CHADEMA. Mapinduzi ya CCM

12122547_903630489718847_713999003090196057_n.jpg
 
Yaani watapoteana. Na kwa sasa naomba Mungu pia wabunge wengi wa upinzani washindwe maana wameshindwa kusimamia misingi ya uadilifu ni malofa.
 
Afadhali kifa maana kila dili tulilopanga walipiga kelele sasa mambbo yetu tutafanya kwa uhuru
 
Magufuli ni kiboko ya mafisadi Chagua magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli
 
Mbowe hatasahau ulimbukeni alioufanya safari hii, lowasa zote kwake na mkwe wake mtei
 
Lazima iwatokee puani
 

Attachments

  • 1445684873112.jpg
    1445684873112.jpg
    62 KB · Views: 111
Kusema ukweli kabsa kesho ndo mwisho wa chadema
Sasa sijuwi watahamia ACT wazalendo
yaan hata sielewi
 
Back
Top Bottom