Recent content by Kevin Biharagu

  1. Kevin Biharagu

    Wazo la kibiashara: Wekeza 280,000 kwa mwezi katika ng’ombe wa maziwa, upate hadi 930,000!

    Tatzo Elimu yetu ya Chuo inatupotosha kiasi kwamba tunachukulia Ng'ombe kama kuku. Mimi nimezaliwa katika Mazingira ya ufugaji na hakuna mfugaji anaweza tumia Hizo ghalama zako Kwa mwezi labda anayefuga kuku. ukitaka kuamini Anza hiyo Biashara ndo utajua kuwa ulikuwa sahihi wakati unapotosha...
  2. Kevin Biharagu

    Ugonjwa wa Ngiri

    Habari wakuu, naomba kufahamu zaidi kuhusu huu ugunjwa wa Hernia. 1. Chanzo chake 2. Dalili 3. AThari zake 4. Matibabu yake
  3. Kevin Biharagu

    TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA

    Unataka maswali ya Interview mbona Bado tunaaapply. Au Interview nilini ili niache kuapply
  4. Kevin Biharagu

    Kwanini USA wanalazimisha nchi nyingi Duniani kutumia Dollar ili kununua vitu Kimataifa?

    Kwanini USA wanalazimisha nchi nyingi Duniani kutumia Dollar ili kununua vitu Kimataifa?. Kwanini USA wanawapandishia kodi Nchi nyigne kuna nini hapo au ni kwamba USA ndo Great Market in This World Only?
  5. Kevin Biharagu

    Nini maana ya Mapenzi?

    Najiuliza Sana, neno hili mapenzi na sijawahi pata jibu ndo maana nimeuliza
  6. Kevin Biharagu

    Nini maana ya Mapenzi?

    Nini maana ya Mapenzi? Nini maaana ya Mahusiano? Kwanini tunaanzisha mahusiano? Kwanini kuna mahusiano ya kimapenzi?
  7. Kevin Biharagu

    Tatizo lolote la PC/device

    Mkuu,PC yangu nimejaribu ku update drivers. But kuna drivers 8 naaambiwa extremely old na nyingne 3 naaambiwa missing. Nifanyeje hapo msaada.
  8. Kevin Biharagu

    Tatizo lolote la PC/device

    Hapo sijajua hiii ni distribution ipi
  9. Kevin Biharagu

    Tatizo lolote la PC/device

    Nisaidie Namna ya ku install Linux
Back
Top Bottom