Recent content by Ketoka

  1. Ketoka

    Kwanini wapalestina hawapati support yoyote kutoka nchi za kiarabu?

    Migongano ya Maslahi ya Kisiasa Nchi nyingi za Kiarabu zina masuala ya ndani kama siasa, uchumi, na migawanyiko ya kidini (Sunni vs Shia). Hivyo mara nyingi huchagua kutojihusisha sana moja kwa moja ili kuepuka kugombana na mataifa makubwa. Baadhi ya serikali za Kiarabu zina hofu kuwa ukitoa...
  2. Ketoka

    KERO Kero, barabara ya Tarime mjini Nyamwaga, lami ni mashimo tupu ajali za kutosha

    Serikali na TANROAD mkoa wa Mara hii barabara ni kero na inasababisha ajali na kupoteza maisha ya watu Mashimo mengi na kila mtumiaji wa chombo cha Moto anakwepa mashimo na kusababisha ajali
  3. Ketoka

    Nimeombwa namba na sijatafutwa hadi mida hii

    Anaandaa mistari ya ChatGPT
  4. Ketoka

    Mwezi December ni mwezi wa kupasha viporo

    Kwa utafiti wangu niliofanya nimegundua mwezi December ni mwezi wa ma-ex kupasha viporo Ombi langu kwa jinsia ya kike mliobahatika kuolewa na wanaume wa mikoani na ukaishi huko mikoani chonde chonde achana basi na wapenzi wako wa zamani ,mnaebisha December inakaribia unamuomba mmeo ruhusa ya...
  5. Ketoka

    FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

    Imekera,yaani ratiba zero management,watu wameingia saa 3 asubuhi wataondoka saa 6 usiku huu ni upumbavu
  6. Ketoka

    FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

    Bora wangecheza Yanga princess
  7. Ketoka

    FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

    Nimependa tamasha la simba,walionesha timu yao ya wanawake,vipi Yanga?
  8. Ketoka

    Hii timu mashabiki wake wengi ni jobless/ watu wasiokuwa na mahali pakulala

    Waafrika tupo nyuma sana kifkra,leo ni siku ya kazi unaendaje kusubiria timu uwanjani ,halafu tunataka Tanzania iwe Kama Denmark
  9. Ketoka

    Kumbe Aziz Ki kilichombakiza Tanzania ni Hamisa Mobeto? Licha ya ofa kibao zilizotolewa na timu kubwa Afrika zikatupwa kisa mwanamke

    Kuna video na picha zinatrend mitandaoni zikionesha Mchezaji wa Yanga na Hamisa Mabeto wakiwa katika dimbwi zito la mapenzi katika uwanja wa mazoezi Licha ya ofa kubwa kutolewa kwa Aziz Ki bado akaona asingemuacha Mabeto mbali ya mboni ya macho yake Sifa nyiiingi kwa injinia kumbe sivyo ,sifa...
  10. Ketoka

    Ilemela wapo gizani tokea saa kadhaa bila taarifa

    Hata huku Mara hakuna umeme
Back
Top Bottom