Recent content by kessyjr

  1. kessyjr

    JamiiForums Tanzania Mwalimu akimpa mimba mwanafunzi afukuzwe kazi?

    Huko ni kufuga wahalifu
  2. kessyjr

    JamiiForums Tanzania Mkitoka out na mwenzio, nani anastahili kulipa?

    Ni kama kupanda daladala na rafiki yako, atakaejitolea kulipa nauli basi alipe tu.
  3. kessyjr

    JamiiForums Tanzania Mwalimu akimpa mimba mwanafunzi afukuzwe kazi?

    Mtoa mada unataka kusema na baba akimbaka mtoto asiadhibiwe kama wabakaji wengine kisa mtoto na mama yake watakosa wa kuwalisha?
  4. kessyjr

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha mshahara kwa Assistant MD kiwandani.

    Natambua kuwa kila mwajiriwa hulipwa alichokubaliana na mwajiri. Ila muhimu kuwa na takwimu za nchi kabla hujataka kima flani cha mshahara. Mathalan USA mtu wa nafasi hiyo hulipwa kati ya dola 60,000 na 134,000 kwa mwaka. Wenye data tafadhali nisaidieni.
  5. kessyjr

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha mshahara kwa Assistant MD kiwandani.

    Kiwanda na ukada wa vyama vinahusianaje?
  6. kessyjr

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha mshahara kwa Assistant MD kiwandani.

    Naomba kujuzwa kwa wenye uzoefu kiwango cha mshahara kwa Assistant MD kiwanda cha saizi ya kati hapa tz.
  7. kessyjr

    JamiiForums Tanzania Featured Question of the Day at Exhale

    A company operates four factories. Each makes components which are incorporated into the products sold by one or more of the other factories. To encourage a competitive environment the directors have decided that each factory should become a separate profit centre. This will necessitate the...
Back
Top Bottom