Kiwango cha mshahara kwa Assistant MD kiwandani.

kessyjr

Member
Jan 22, 2013
7
0
Naomba kujuzwa kwa wenye uzoefu kiwango cha mshahara kwa Assistant MD kiwanda cha saizi ya kati hapa tz.
 
Viwaqnda kwani vimeshajengwa?.Nilikuwa naulizia tu.Baada ya hapo ni kwamba hakuna kiwango cha mshahara katika sekta binafsi bali ni makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa na kutegemeana na kiwango cha uzalishaji wa kampuni/kiwanda na reputation ya kampuni pia.
 
Natambua kuwa kila mwajiriwa hulipwa alichokubaliana na mwajiri. Ila muhimu kuwa na takwimu za nchi kabla hujataka kima flani cha mshahara. Mathalan USA mtu wa nafasi hiyo hulipwa kati ya dola 60,000 na 134,000 kwa mwaka. Wenye data tafadhali nisaidieni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom