Kuelewa Addiction ni vigumu kwa watanzania kama Makonda, kwasababu wengi wenu hamjasomea Psychology Ya watumiaji madawa na sababu zao za kutumia.
Msomi wa Addiciton Dr. Gabor Mate, anasema sababu kubwa kuliko zote za utumiaji wa madawa ni CHILDHOOD TRAUMA au CHILD ABUSE, Yani maisha yako...
Okay then heres a couple other sources. Tanzania and china hazitafautiani sana ikija kwenye corruption na kwenye kufeli kwenye uchumi. Sema china wanajua kudanganya.
China Corruption Report
How Deng Xiaoping Helped Create a Corrupt China
China Corruption Rank | 1995-2017 | Data | Chart |...
Ukisikiliza kwa umakini kila wakati magufuli au makonda wakiwa wanatoa hotuba au Maraisi waliopita, utasikia jinsi wanavyopenda kuongelea mifano kutoka Nchi kama China.
Kwanini wafanyasiasa watanzania na Viongozi wanapenda kuiga nchi kama China. Kwasababu mfumo wa CCM, and fikra za sera...
Ni ongezeko la kodi na deni la taifa ili tu wafikishe mipango yao ya kujenga miundominu . Wanakopa wasioweza kulipa na wanaishia kuongeza kodi.
Ongezeko la kodi ni kikwazo kwa biashara kukuwa. Nikuulize je ungetaka kukusanya 10% ya sh1000 au 30% ya sh100. Kwasababu kinachotokea ukiongeza...
swala siyo priorities bali ni uhuru wa kibiashara. Na natational development policies zitafeli au zinaishiaga kuwa hasara kwasababu hela zinazohitaji zinakusanywa kutoka kwa wafanya biashara ambao wangeweza kuendeleza biashara yao na hiyo hela.
Serikali ya Magufuli ilivyoanza ilionekana haieleweki. Lakini sasa hivi nimeifikiria na kufika kwenye ufafanuzi. Naomba kama wewe hutakubaliana na mimi uisome hii hoja vizuri na unijibu kwa kutumia hekima na utafiti.
Hitimisho nililolifikia baada ya kuchunguza serikali ya awamu hii na mwenendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.