Recent content by keshy super sembe

  1. keshy super sembe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Japo nililazimishwa kuoa, tena msichana walionichagulia wazazi ndoa yangu imekuwa neema na baraka bila kutegemea

    Siku mambo yakienda mrama usisisahau kutuambia ili tukuambie ulipokosea.
  2. keshy super sembe

    JamiiForums Tanzania Marks ya chini kabisa ambayo ulishawai pata kwenye mtihani ni ngapi

    Hivi yule kipanga aliyekataa mshahara wa million 400 kwa Trampo yuko wapi Tz na anafanya nini. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. keshy super sembe

    JamiiForums Tanzania Behind every successful man...

    Kauli za waliofeli mo dewje hata mke wake sijawahi muona. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. keshy super sembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mtumishi wa Serikali alipwe mshahara endapo sikukuu zikiangukia tarehe za 20+

    Wewe chapa kazi tarehe bado punguza kulia lia ck hizi huko serikalini hakuna malupulupu mpaka mlie lie jukwaani. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. keshy super sembe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliyeamini mkioana wote wafanyakazi mna mshahara mtatoboa kimaisha tupe mrejesho

    Uwe na nyundo misumali na ubao.
  6. keshy super sembe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndio Njia bora ya kufanya mkeo,mchepuko na MTU anaekudai asikupate hewani

    Wewe MTU mmoja tu akufanye usipatikane kwa watu wote. Lete njia ya kumfungia huyo mmoja sio wote.utakosa dill bure.
  7. keshy super sembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimejenga nyumba lakini kabla haijaisha nikafukuzwa kazi

    Braza unaakili sana huwezi kumshauli MTU abaki na hilo pagare et atalimazia kulijenga na wakati hana kipato pesa uliyoweka hapo ni ndogo mno kuliko unayodaiwa kulimazia hilo jengo .kwa Mimi ushauli wangu uza hiyo nyumba kabla haijachakaa na kuoza tofali anza biasha ukiwa na machungu ya kuuza...
  8. keshy super sembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimejenga nyumba lakini kabla haijaisha nikafukuzwa kazi

    Nakushanga sana tena sana unataka ukae na hicho kiwanja cha nini ,uza upate mtaji uzungushe utajenga nyumba nyingi zaid ya hiyo.
  9. keshy super sembe

    JamiiForums Tanzania Kama upimaji wa TEZI DUME ndiyo uko hivi naomba niandaliwe mapema tu Gereza langu kwani nitaua Mtu!

    Wanaume wa daaa mnakazi sisi hiyo haiwezi tokea mraa .
  10. keshy super sembe

    JamiiForums Tanzania Nini husababisha nyeti za mwanamke kuungua?

    Kwani yako ikoje
  11. keshy super sembe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshinda kituo cha polisi leo baada ya huyu mkaka (Bonge) Kuzimia wakati tunafanya tendo la ndoa

    Watoto kama nyie mje mikoani bwana mtufariji na sisi.
  12. keshy super sembe

    JamiiForums Tanzania Andika sababu ya kifo kutokana na mazngira

    Yatakuwa mapenzi tu hayo.
  13. keshy super sembe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwezi Kuua Maiti -Erick Shigongo

    Naisubili
  14. keshy super sembe

    JamiiForums Tanzania Nipo Mwanza, haijanivutia kabisa

    Yeye katudanganya muda yaweza kuwa yuko Mbeya huyu hebu tuachie jiji letu lililojaa raha kesho kapripoint
  15. keshy super sembe

    JamiiForums Tanzania Mitazamo Mitano (05) Ya Kifedha Inayowafanya Wengi Kuendelea Kuwa Masikini.

    Binadam tunapenda maigizo sana
Back
Top Bottom