Recent content by Keshoyangu

  1. Keshoyangu

    JamiiForums Tanzania Niishije ishije kwenye hiyo miaka iliyobakia?

    Acha kujiwekea Sheria ngumu kijana, ishi muda ukifika utaondoka tu
  2. Keshoyangu

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini ukisikia jina la Adam Simbeye kwenye THIS WEEK IN PERSPECTIVE

    Daah umenikumbusha Mzee Adam Simbeye alikua anatema ngeli imenyooka sana
  3. Keshoyangu

    JamiiForums Tanzania Jamii ya Kitanzania iache kulazimishana kuongea na watu, kama mtu huyo hapendi

    Tanzania bado Ina mfumo wa ujamaa huwezi kuukwepa Relax
  4. Keshoyangu

    JamiiForums Tanzania Mimi ni nani na kwanini support yako ya kimawazo ni muhimu sana

    Wazo lako Ni zuri Sana Keep it up
  5. Keshoyangu

    JamiiForums Tanzania Kwa wakongwe tuu. Kumbukizi zenye simanzi

    Tulikua tunaita kata upepo aisee
  6. Keshoyangu

    JamiiForums Tanzania Nataka kufuga nyuki kisasa

    Nimeipenda hii
  7. Keshoyangu

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu zisizofutika

    Ukiweza futa namba yake ya simu kwenye contact yako
  8. Keshoyangu

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu zisizofutika

    Aisee Pole Sana Mkuu
  9. Keshoyangu

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: Vijumba vya kupunga upepo na sehemu ya wageni

    Aisee naondoka na hii
  10. Keshoyangu

    JamiiForums Tanzania Tv show cases series

    Kazi tamu Sana hizi Mkuu
  11. Keshoyangu

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi azuia uendelezwaji wa eneo lenye mgogoro Sumbawanga

    Nakumbuka kamati ya bunge walisoma mapendekezo yao bungeni sijui iliishia wapi
  12. Keshoyangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unamchukuliaje mama yako ambaye hataki kukupa ukweli kuhusu baba yako mzazi na kuacha utumie ubini wa mtu mwingine?

    Vp ikiwa maumivu yalisababishwa na mama na sio baba Kuna Siri nzito Sana Hapo nenda polepole
  13. Keshoyangu

    JamiiForums Tanzania Kwa Wazazi: Utapeli wa English Medium upo katika maeneo yafuatayo

    Kuuliza maswali yote hayo sidhani Kama utapewa ushirikiano mzuri
  14. Keshoyangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Episode ya 5 umeiruka Bila shaka
Back
Top Bottom