Recent content by Kertel

  1. Kertel

    JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi: Vyama vyote vimefika, isipokuwa kile kimoja kinachojitafuta

    Huyu ndio anayeitwa mlezi wa vyama vya siasa
  2. Kertel

    JamiiForums Tanzania Mahakama: CAG hawezi kuondolewa Madarakani kwa Utashi wa Kisiasa au Ukomo wa Muda wa Bunge

    Hivi jiwe bado angekuwa hai na yuko madarakani,mahakama yetu ingekuwa huru kutoa hii hukumu?
  3. Kertel

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ajenga machinjio ya kisasa Ngelewala Iringa na sasa kuanza Kutoa Huduma

    Basi ana hela nyingi
  4. Kertel

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ni kiongozi wa shughuli za Tanganyika hawezi kutoka Zanzibar

    Kuondoa hiyo mikanyiko solution ni Tanganyika yenye mamlaka kamili
  5. Kertel

    JamiiForums Tanzania Muwekezaji anatafutwa Mtwara

    Sijui lugha gani hii umetumia,maana haileweki
  6. Kertel

    JamiiForums Tanzania Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

    Kwa mbilinyi makete,rojo na ugali
  7. Kertel

    JamiiForums Tanzania Nashauri zitengenezwe noti za picha ya rais samia kama kumbukumbu ya rais wa kwanza mwanamke TZ

    Kumbe anefail kulinda mgongo wake
  8. Kertel

    JamiiForums Tanzania Nashauri zitengenezwe noti za picha ya rais samia kama kumbukumbu ya rais wa kwanza mwanamke TZ

    Waweke na zile za WaTanganyika waliouawa oct 29 2025
  9. Kertel

    JamiiForums Tanzania Lissu kuwekwa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa na hujuma nyinginezo gerezani, zilikuwa ni mbinu za kumlazimisha kuwapigia magoti watesi wake

    Kumbuka wanamwogopa kukutana naye kwenye box la kura na lakini pia amekuwa msitari wa mbele kuwafungua wananchi na wananchi wanamwelewa sana jambo ambalo maccm hawalitaki.
  10. Kertel

    JamiiForums Tanzania KKKT mmekubali kukumbatia Nyoka, acha awang'ate, Shetani hana rafiki

    Mbona yapo tayari,si ni kkkt na kwa mwamposa
  11. Kertel

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko tunayohitaji kwenye ELIMU yetu ni kuongeza au kupunguza miaka ya kusoma au kuboresha content?

    Wanataka watoto wetu wawe kama ile familia ya kizimkazi
  12. Kertel

    JamiiForums Tanzania Simba 10 wauawa Ngorongoro, yadaiwa ni kisasi baada ya Simba kuwala punda wawili wa wafugaji

    Isiwe michezo tu ili lile la kuwaondoa wafugaji litimie
  13. Kertel

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Iwapo Nchimbi hataonekana hadharani ndani ya wiki moja tutaiburuza Serikali mahakamani

    Nawe bogasi.Si mmesema mtaiburuza serikali mahakamani,sasa huko serikalini Nchimbi si ajiuzulu
Back
Top Bottom