Recent content by Kenzpuls

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji iPhone 6 Plus

    Skuizi aziitwi iphone 6 plus ni Tecno janja Maana ata wauza chips waliokua wana dharauliwa wanazo, makonda wa daladala wanazo, mama ntilie wanazo so wengine wameenda far wanamiliki iphone 8 mpk x
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kituo cha mwendokasi Kimara, ni jehanamu ya abiria

    Kama unaona unaibiwa panda daladala ambako hauibiwi kila kitu kina mipango na mikakati
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nauza sangara

  4. K

    JamiiForums Tanzania Nauza sangara

    Umeona Sasa sema wewe haujazunguka na umezoea ibiwa unauhakika unalo ongea ngoja nikuoneshe samaki nlionunua asubui apo ndo uache ubishi wa kipumbavu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nauza sangara

    Brother mimi ni mnunuzi wa ao kuku broiler Nenda uko Chamazi Magengeni uliza wauzaji uko wananunua broiler 5000 na wao wanauza paja 1000-1500, kidali 1900, firigisi 700, Miguu na kichwa 300, shingo 500 na hawa elfu 5000 awajatengenezwa ukitaka wakutengenezee ndo 5800 Kuhusu nyama ya ngo’mbe...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Burna Boy ni zaidi ya Wizkid na Davido kwa sasa?

    Kajaza vipub vya ulaya uko na vikumbi vya kawaida vyenye watu 100-3000 Ila wenzake wa nigeria wanajaza 10,000 mpka kuendelea uko Afu ungese uache kumlinganisha Madomo wako na Davido ajamfikia kwa lolote lile sio kwa mkwanja , nyimbo zilizo hit mpk show Na uyo ndo role model wake umesahau...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Burna Boy ni zaidi ya Wizkid na Davido kwa sasa?

    We choko inaonekana unakaa kwa shemeji unalala sebuleni unacho jua ni ku praise tu atakama Mond akinya wewe nikusifia tu Matako kabisa ivi kumbe nlikua sijui kama wewe ni mtoto wa 2000 asee ngoja niache kukujibu maan unaongea uharo tu kila kitu wewe Mond kafanya unaongea upumbavu hauna fact weka...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Biashara gani yenye kuingiza faida ya milioni 100 mpaka 500/mwezi/wiki/siku?

    Mimi kibaraka ila Na make pesa Mkuu wewe mjuaji unaenichora sijui una Make nini ? Ivi kwa akili ya kuambiwa tu mtu anaejitambua ulitegemea nikwambie kua asee mashamba yako Hapa na hapa this is business ndo kinachotuweka mjini endelea kupiga mayoe sisi tushakula contract ya kusupply mwaka mzima...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

    Sio simple as yah think
  10. K

    JamiiForums Tanzania Biashara gani yenye kuingiza faida ya milioni 100 mpaka 500/mwezi/wiki/siku?

    Tatizo ni kua wewe ni kilaza sasa unataka nikutafunie Kwa kukupa location ili uvumbue nini au lengo lako ni nini? Ungeuliza na iyo inayokusanywa inapatikana wapi Ndo maana nkasema mashamba yako na kwa taarifa wengine ndo mishe zetu , tunasupply mpaka nje ya nchi Unataka unioji maswali ili...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Is Harmonize a yesterday news?

    Nyuzi za jf skuizi ni za Mond, konde, na kiba dah maisha yanaenda kasi sana
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nauza sangara

    Unapajua sabasaba uliza nyama ni kiasi gani ? Usiongee usilojua asee
  13. K

    JamiiForums Tanzania Burna Boy ni zaidi ya Wizkid na Davido kwa sasa?

    Davido kasha ingiza nyimbo nyingi tu billboard na zikadumu kwa majuma mengi tu naisi nimekupa jibu so Davido kafanya vitu mara 2 mpka 3 ambavyo REMA ajafanya ila REMA kafanya vitu vichache ambavyo Mond kwenye Game hajafanya mpka sasa kimojawapo ni icho nlicho kutajia
  14. K

    JamiiForums Tanzania Burna Boy ni zaidi ya Wizkid na Davido kwa sasa?

    Hii show ilifanyika kahama au ilifanyika Europe? Jibu ni hapana ata kina davido uko kwao wanapiga show kama izi na wanajaza utitiri ingia youtube search show zake za africa utaona Tunataka afanye Europe tuone akijaza ao watu 20,000
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mazoezi haya yamenimaliza nguvu za kiume

    Kifuani kwa mwanamke sio mapenzi bali nikumchosha cha msingi izo dk 5 unapo do unagusa angle zote ? Unamkuna anapotakiwa mpk akojoe kila kitu ni skills na experience sasa wewe unaweka tu Mkuyenge unatoa ata hautafuti weak point na G spot
Back
Top Bottom