HAKUNA WAZIRI ,DUNIA INAPITIA KWENYE CHANGAMOTO ZA KIFEDHA,YEYE ANATAKA KUSAJILIWA MSIMU UJAO....TUNA VIONGOZI WA HOVYO SANA TZ....IKO SIKU TU INSHALLAH TUTAFIKA KWA WAKENYA.
NAWAZAAA,NADHANI NI WAKATI SAHIHI SASA KWA MHESHIMIWA NCHEMBA KUJIUZURU KUEPUSHA YA KENYA HAPA TZ...AMEISHINDWA WIZARA ANANUNULIA TEAM ZA MIPIRA KWA MASIRAHI BINAFSI...AMESHINDWA KUA MBUNIFU KWA SWALA LA MAPATO NI MTU ANAEKURUPUKA BILA KUFIKIRIA WATANZANIA.
SAY NO TO MWIGULU.
Tunadanganyan sana ikifika swala hili,nikazi kwa uchumi wa nchi kukua kama bidhaa inayozarishwa nchini iko juu kifedha kulinganisha na ile inayoingia kutoka nje.
KWANINI- Sababu bidhaa ya ndani ikipelekwa nje inaenda kuuzwa kwa dollar hivyo kuongeza mzunguko wa fedha za kigeni nchini kitu...
MOJA YA FAILURE ALIYOIANDIKA MKAPA KWENYE KITABU CHAKE ENZI ZA UONGOZI WAKE NI UBINAFSISHAJI WA MASHIRIKA....ALISEMA KWAHILO ALIKOSEA NA ATAMANI RAISI MWINGINE AKOSEE
Hii ni kutokana wengi wanafungua viwanda kusupport nchi yao, lakini wanasiasa kutokana na maslahi yao, wanaingiza bidhaa nchini bila kodi na bidhaa hiyo hiyo inayozalishwa nchini inakuwa na kodi kibao.
Hatuwezi endesha nchi hivyo wanasiasa wanaharibu nchi kwa matumbo yao. Nilitegemea viwanda...
SAUDI ARABIA INATUMIA FEDHA NYINGI NOW KUVUTIA WATU KUJA NCHINI KWAO KUPITIA MPIRA.SISI TUMESHAJULIKANA KUA NUMBER MOJA KWA FANS LAST YEAR NI NGUVU KIDOGO TU ..TUTOKE TULIPO...MUNGU HAKUPI KILA KITU HATUNA INTERNATIONAL PLAYERS BAC TUTUMIE KILE MUNGU ALICHOTUPA YANI USHABIKI
ALIKAMWE ALIFANYA UBUNIFU KWA MECHI YA YANGA KUWA KAMA PACOME ILIONGEZA MVUTO ZAIDI...SASA WIZARA INAWEZA TAFUTA NAMNA YAKUWAPOKEA MAMELOD VIZURI NA MASHABIKI WAKAENDA NA BODA KUWASINDIKIZA HADI UWANJAN NA VIDEO ZIKACHUKULIWA ZIKASAMBAZWA AM SURE WATAPATA CHAKUSIMULIA....LAKIN WANAWEZA PELEKWA...
AFIKIRIE ZAIDI HII NIFURSA KUBWA KWA WATU WA BUNIFU ..SOCIAL MEDIA ZINAENDA VIRAL...WANGEWEZA PELEKWA ZANZIBAR BFR LEAVING AM SURE WIZARA INGEPATA WATU WABUNIFU HII NI FURSA KUBWA CZ MAMELOD WENYEW WANASHAUKU YA KUJA.
Hili wadau litaongeza ushawishi mkubwa kwa taifa kila nchi itachagua Tanzania kuja kuweka kambi badala ya kukataza jezi tutengeneze ela kupitia hili, wizara ifanye ubunifu tumeona Mamelodi wamekua na shauku kubwa kuja.
Sasa mpira sio kupata kombe tu lakini tuutumie pia kama ushawishi wa kila...
thats why sera za Viwanda na sekta nyingine ambazo hawafanyi wazawa kwenye tender masharti yawekwe na kuzingatiwa rasiivo miaka ya mbele tutakua na vijana waendesha bodaboda tu lakini pia vijana tuanze fwata siasa sasa tumewaachia tuliowaamini wametuangusha ..ni vizuri twende wenyew
Sera mbovu za uwekezaji na viwanda nchini hili huchangia mtu kusaka vibali kwa gharama kubwa akipata anajitajirisha mwenyewe na fedha nyingi wanazochuma kwetu wanazipeleka kwao kwetu maslahi yanabaki duni
Ni bora sera za viwanda zibadilishwe na Serikali itoe support kwa viwanda vya ndani, kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.