Recent content by kenonke

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hii ndio changamoto kubwa kwa Lowassa, angeweza kushinda kama..

    Huyu jamaa nilitarajia kuna kitu kipya anataka akiseme kumbe kamaliza.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wasanii Aunti Ezekiel na Vincent Kigosi kutoka UKAWA wajiunga na kampeni za CCM

    Hao walikuwa watumbuizaji tu.hawana impact hats akiondoka mboye speed iko pale.Acha Escrow ikokote
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

    Au we ndo umemwalibu kuko wazi huko?au anakitu mtwara.hahahaaaaa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tupia majina ya baa za kibongo

    Ant-stress bar tabata
  5. K

    JamiiForums Tanzania Zitto ndani ya kipindi cha Dakika 45 za ITV - Machi 16, 2015

    Heee kumbe lusinde yuko Bavicha?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Bodigadi wa zamani wa Dr. Slaa, Khalid Kagenzi akanusha kutaka kumuua Dr. Slaa

    mwanzon hakuwa na dini toeni hoja zenye mantiki ili tujifunze na tuelewe nan ana makosa ktk hii kadhia.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Alichokiongea Zitto Kabwe huko Mwandiga, Kigoma - Machi 15, 2015

    ww umetokea nchi gani si mlisema cuf ni wadini sasa watapataje udini mara mbili au mi sijakuelewa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Jamani hii sinema ya Amboni Tanga iishe sasa tuendelee na shughuli nyingine!

    Mzee Wa nduki, Acha picha liendelee
  9. K

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

    chakutaka, mm sio mwanachama wa chama chochote,naona ww mtu akiwa na mtazamo tofauti inakuwa shida, kwa hiyo tusijadili hii issue ya muhongo kisiasa ila kihalisia. yawezekana ukaja na hoja nikakuelewa. panga vizuri huo utetezi wako
  10. K

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

    Hata sisi tunajua Muhongo msomi! akiwa kazi anajanya vizuri na hayo mashirika. lkn katuibia au majizi yamemwingiza mkenge tufanyeje? tumwache sababu wazungu wanamtambua, jadili issue sio mtu. kwa iyo mtu akitwibia au kutuingizia hasara tumwache kozi ana elimu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nilipompelekea IGP Mangu majina ya wauzaji wa madawa ya kulevya mezani kwake

    Bwana Ngonyani pole sana, naunga mkono kazi nzuri ulioifanya. kwa taarifa tu kuna sehemu pale kawe nilimkuta kijana mmoja tunafahamiana vizuri akiwa amezungusha mkanda shingoni, nikamuuliza hiki nn kabla hajajibu, wakaja mateja! zilikuwa zimefungwa kama karanga ila ni vidogovidogo...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa kawa lulu bungeni; wabunge wapanga foleni kumuona

    hilo gazeti ndo lile la msaki wa ugaidi,sasa unatarajia nn
  13. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa kawa lulu bungeni; wabunge wapanga foleni kumuona

    hahaaaa umenichekesha
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kutangaza nia ya ubunge CHADEMA

    candy wenye chama watakumeza
Back
Top Bottom