Recent content by Kennysoblessed

  1. Kennysoblessed

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Wakuu nahitaji kujiunga kweny grup zuri la liverpool whatsapp, kila la kheri leo Anfield #YNWA Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Kennysoblessed

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Msilike tafadhali
  3. Kennysoblessed

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuzima data ni ushamba

    namaanisha matumizi yako ndio chanzo cha kumaliza chaji
  4. Kennysoblessed

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuzima data ni ushamba

    Asee kuhusu kuzima data au kutokuzima kwamba inachangia kumaliza battery hio sio case sana, matumizi yako ya simu ndio chanzo cha kumaliza data na mkae mkijua kwamba 60% ya kinachomaliza chaji ni DISPLAY.
  5. Kennysoblessed

    JamiiForums Tanzania Kwenye kikosi bora cha dunia hakuna hata mmoja kutoka epl, nini maana yake?

    Yani Kikosi kile kile miaka nenda miaka rudi
  6. Kennysoblessed

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la gawio la hisa za Vodacom, najuta kununua hisa za Vodacom

    Haha naona voda wame wa "Pindua Pindua"
Back
Top Bottom