Nimechimba kisima cha biashara sema maji yake yana magadi na arufu ya udongo na wateja wangu wanataka maji baridi(matamu) sasa nataka kuweka dawa ya kuondoa hayo magadi na arufu Nitumie dawa gani!!?
unajua Mungu ndo anahusika katika kuwapa wanadamu kutawala........sasa kwa namna ya kutisha viongozi wa kuu hasa wa CCM wamekua vituko mbele za watu halafu uongo wao unaonekana kabisa iyo ni LAANA! watumishi wa Mungu kama ASKOFU KAKOBE,MAASKOFU WA KIKATOLIKI, MASHEHE.......ni wazi Mungu yuko...
Huyu ndie mtumishi wa kweli asie tafuta kupendwa na wakubwa wa nchi......kwasababu kwa ukweli anaoongea apo juu serikali haiwezi kumpenda hata kidogo.......simamia kweli Baba Kakobe..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.