Recent content by Kennya Msechu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Asante kwa somo. Ni kweli kabisa kuwa madereva wa mabasi wengi wao uendeshaji wao ni wa hatari sana. Sijui waelimisheje ili wabadilike
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe wastaarabu, hebu mcheki huyu

    Kwa Dar si ajabu. Ingekuwa Moshi 50000 zingemtoka
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania inunue hii kujiandaa na matukio kwa JWTZ

    Kwani makanisa tz yamechomwa mara ngapi? Mbona polisi wa tz hawakuzuia?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Treni Dar-Kigoma kama Ndege

    Tunapongeza sana. Pawepo na usimamizi name ulinzi madhubuti kwani wale waliokuwa wanafaidi kwa kukosekana hali nzuri ya mabehewa watafanya mbinu kuihujumu. Kwa upande wa treni ya mizigo ulinzi uwe madhubuti zaidi kwani wamiliki was malori na mafisadi hawataacha kuihujumu. Pongezi sana Makyembe
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Airtel nao wale wale, hakuna afadhali

    Hii mitandao kwa upande wa internate ni kwa watu washio miji mikubwa tu. Hata mwanga kil. 3g ni 0
Back
Top Bottom