Recent content by kenmwaikambo

  1. K

    Sheria ya udhibiti wa uzito wa magari kuanza kutumika Machi 1, 2019

    Sheria mpya imepungua viwango vya uzito wa upakiaji mizigo kutoka 30ton mpaka 28ton.sheria inataka mabadiliko ya mfumo wa ekseli kutoka super single mpaka double tyre.yaan magar yote ambayo yanatumia mfumo wa super single hayatakiwi kutembea barabarani kwa kigezo kwamba yana haribu miundombinu...
  2. K

    Msaada wa dawa ya kupunguza usingizi

    Inaonekana huna family. Ukiwa na mke na watoto huwez kulala mapema. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    Nataka kujenga, nina laki 5 mkononi

    Mjengo au banda mkuu?usifanye mchezo na mjengo wewe. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    Kila mwanamke ninayetembea nae lazima abebe mimba.

    Kwaiyo kila mwanamke unaye kutana nae unapiga kavu Mzee? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    CCM Taifa ya JK ilivyoisambaratisha CCM Mbeya ili tu kumkabili Prof Mark Mwandosya.

    Kumbe naibu ana sura ngumu kiasi hiki?unaweza tishia mtoto walahi. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    Spika Ndugai: Lissu asubiri Muziki wangu

    Ndungayii ni mgonjwa msameheni bure.ARV zina mchanganya akili. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    Malisa: Kuhusu Hardtalk sikutaka kusema lolote kwa sababu alichokifanya Lissu hakuna mwanaCCM yeyote anayeweza kufanya

    Umetumwa na magu kuja kuomba tafsili ya lugha ya kizungu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    Stephen Sackur wa BBC HARDtalk akubali kumhoji Rais Magufuli

    Jiwe akikubali nahama nchi.usifanye mchezo na kizungu.jiwe akiongea kizungu anatetemeka mpaka meno yana gongana. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    Zinaa katika uislamu....

    Nimekupata mkuu asante sana kwa elimu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    Magaidi kweli wanaleta hofu yani uwoga umeniingia hadi sasa hivi naishi kama nyokao

    Kwaiyo unataka kutuambia kwamba ugaidi ni uislam?tuombe radhi kijana kabla mambo hayaja kuaribikia. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    Mmiliki wa kituo cha mafuta Tankibovu BP, huyu kijana Magafu anawafukuzia wateja

    Uzi wa majungu huu. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    Zinaa katika uislamu....

    Hoja yangu ni kwamba.kwanini itumike nguvu kubwa kwenye nguruwe na sio zinaa?dhambi ya zinaa imeelezwa kwenye vitabu vya dini na adhabu zake zipo wazi na kwa ukubwa wa adhabu ya zinaa inatosha kabisa kutuonyesha kwamba zinaa ni kosa kubwa sana.swali langu ni je kwanini masheikh wetu hawatumii...
  13. K

    Zinaa katika uislamu....

    Inawezekana kukawa na uislam bila ya waislam?uwezi kutenganisha uislam na waislam hata siku moja.ili uislam uwepo wanaitajika kwanza waislam. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. K

    Zinaa katika uislamu....

    Kinacho nishangaza Mimi kwenye uislam.zinaa haikemewi sana kama ambavyo wanakemea ulaji wa nguruwe.mla nguruwe anaweza akatengwa na uislam lakini mzinifu akaonekana shababi. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. K

    Mwanza: Polisi Mwingine wa Usalama Barabarani ampiga dereva na Kondakta

    Sio Tanzaniania mkuu.izo sare ni za police wa zambia na ilo tukio limetokea kwenye wilaya ya Chingola copper belt. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom