Recent content by kenlick00

  1. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nina jarib kujaza token alaf inagoma kisha inaandika error 00.,tatizo ni nini?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Zoom cloud meetings time extension

    Habari wajuvi ,katika hii app mpya ya Zoom cloud meetings je unaeza kuextend izo 40 mins wanazokupa kama trial tofaut ka kufanya malipo? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    JamiiForums Tanzania sumsung s7 edge pink line

    wadau kuna m2 yoyote anaejua jinsi ya kutatua pink line inayotokea kweny s7 edge? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    JamiiForums Tanzania Qualification za kusoma CCNA

    Habarin...napenda kuuliza ili uweze soma CCNA course unatakiwa uwe unalevel gan kielim mfano ata mtu anaeanza degree ya IT mwaka wa pili anaweza anza kusoma na pia n garama gan masomo pampja na mitihani ,den n vituo gan vinapatikana hasa kwa dar.....msaaada wakuu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Kwa io mtaj gan unaeza kua mzr wa kuanzia
  6. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Ndo mara ya kwanza naaanza hii biashara
  7. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Sawa....naomba uniambie mtaj gan mzr wawezakua mzur wa kuanzia
  8. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Nampango wa kuutoa sehem yoyote ambayo itakua karib mfano moro.... Na pia mostly malengo yang n kufanya mauzo ya jumla meanwhile rejareja, na kwa jumla nauliza capital gan yawzakua nzr kuanzia.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Kilichonivutia kufanya biashara ya mchele n kua n zao ambalo linatumika sana kwa matumiz ya watanzania
  10. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Ninampango wa kuanzisha biashara ya mchele dar naomba kujua n mahali gan kunaeza kua na mzunguko mkubwa, garama na mtaji pia.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa namna ya ku-bypass google account

    Naomba uweze nitaftia io link tafadhali
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa namna ya ku-bypass google account

    Wakuu naomba msaada jinsi ya ku bypass google account password without recovery email au phone number
  13. K

    JamiiForums Tanzania Division III ya 14 PCB anaweza kwenda shahada?

    Ata kama anamasomo yote F ila katika cire subject awe ana D mbili anaenda tuu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili kufanikiwa katika fani ya IT?

    More tips plz....
Back
Top Bottom