Kwanza ningependa kuwapa pole kwa shughuli mbalimbali mnazofanya.
Leo napenda kushare nanyi katika uzi huu kwa wale wenye uelewa Kuhusu fani ya IT.
ningependa kujua ya kua ili uweza kufanikiwa katika fani ya IT unatakiwa ufanye vitu vipi ambavyo vitakufanya ufanikiwe kulingana na soko la ajira la nchini mwetu TZ.