Recent content by Kengemuslimina

  1. K

    Ufalme wa Saudi Arabia Upo Ukingoni Kuanguka

    Mfalme ABDULLAH amekufa miaka miwili iliopita, nani kakuambia alikua na wake 30. Hao wanne nikikuambia uthibitishe huwezi. Jambo lingine hata Angeoa 50 kinacho katazwa ni kua nao zaidi ya wanne wakati mmoja dini yake ina mruhusu,ndio maana kuna ndoa na Talaka, akitaka kuongeza zaidi ya wanne...
  2. K

    Ubungo Interchange, TAZARA Flyover na Standard Gauge sio moja ya mafanikio ya Magufuli

    Elewa alie tafuta pesa na kusaini mkataba ni Jk, sio alitia nia tu, mifano yako ni tofauti na huu wa Flyover. Mpaka magu alisaini na Jk akiwa kamsimamia kama bosi wake na vyombo vyote vya habari vili ripoti. Mue na kumbu kumbu na acheni kuhemka na mifano isio lingana. Eti nia ya kufanya. Hatu...
  3. K

    Ubungo Interchange, TAZARA Flyover na Standard Gauge sio moja ya mafanikio ya Magufuli

    Hivi mkuu wa Tanroad ana influence gani nje ya nchi? Wazirii kamili kama hana memo ya Rais angeenda kuomba msaada wowote asinge pewa, Kumbuka hata meya wa jiji wakati huo Mr Kimbisa aliwahi kuzungumzia kuhusu kukamilika kwa sehem ya msaada ulio ombwa na serekali kuu toka China. Kumbuka Rais...
  4. K

    Kumu 'ignore' dereva wa Lissu lilikuwa kosa kubwa sana la 'watu wasiojulikana'

    MBWENI una kusudia ile ya Zanzibar? Ambayo ni Kijitonyama two?
  5. K

    Waziri wa TAMISEMI, George Simbachawene na Naibu Waziri wa Ujenzi, Edwin Ngonyani wajiuzulu

    Nae katajwa ktk ripoti? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    Escrow: Kilaini, Ngeleja, Tibaijuka, Naiko kila mtu anena lake. Wengine hawajui wamrudishie nani

    Huyu Kilaini alikula mbumba za Escrow kiulaini tuu Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
  7. K

    Mke wa Lukuvi kung'oka sababu ni nini?

    Accountant kabla hata mumewe haja kua waziri
  8. K

    Mahakamani: Bodi ya Wadhamini ya CUF, yawasilisha hati ya kumshitaki msajili na Wengineo

    Kama ofisi yao ilipo ni UFIPA na Viongozi MBOWE & TUNDU LISSU..hapa wazazi sijui wali angalia utoaji wa Majina?
  9. K

    Rais Magufuli anaua morali (mood) ya wafanyakazi

    Ana ua MOLALI..!!? au morali?@Mihongora Shirika LIMEFIRISIKA..?!! au lime filisika?@mkorinto
  10. K

    CHADEMA wanakaribia kuiua CUF Bara kama walivyofanya kwa NCCR

    Wewe Afande Sele huna lolote, Wewe una taka kwenda Chadema na wala usi tafute sababu you cam go any time, leo una zungumzia maandiko wakati ulisha pingana na dini na uka sema ukifa uchomwe moto, sijui ume pagawa hujui ushikapo?
  11. K

    Nini tiba ya chronic ethmoid sinusitis

    Matibabu yake ni Operation ya kutoa hiyo chronic sinusitis
  12. K

    Juhudi za Lipumba kutaka Suluhu Kupitia wazee wa CUF zagonga mwamba

    Kumbe Sefu ni Mkabila, ndio Maana ana kifanya chama ni cha kipemba na Mali yake, Le Proffeseri sio Mapalala wala Hamad Rashid, Mta mjua safari hii, na Mta anzisha kila Thread hapa za kutu nga na Jamaa Hatoki Ng'oo
  13. K

    Mtatiro kuingiiza Dola katika mgogoro wao na Lipumba ni mwendelezo za fikra duni za wapinzani

    Wakati kiswahili tu kina kushinda, eti SUBILI... MAALIFA. . hebu kaji funze kiswahili kwanza kabla huja mkosoa Le Proffeseri. .
Back
Top Bottom