Recent content by kenge mwekundu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nimsaidiaje huyu mwenzangu?

    unakimbilia uzuri unajua ni kipusa kumbe ngiri poole
  2. K

    JamiiForums Tanzania V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

    Kama ni hivyo sasa ni kazi ya arv mwilini
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wenye nyumba na kutolipa bili za umeme na maji

    ni kweli lakini naona haina haja ya kuanza kulumbana na mwenye nacho nyumba ziko nyingi bora kujiepusha na migogoro isiyo ya lazima
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kinachokuumiza ni mawazo yako mwenyewe

    nisaidie nifanyaje kuondokana na hali hiyo maana naona kama mungu kakutuma kwangu nipe namna ya kujinasua na hii hali
  5. K

    JamiiForums Tanzania MWANZA: Mtu Mwingine auawa kwa kukatwa mapanga usiku Sengerema

    ukiwangali wapole saana watu wa mwanza unajiuliza haya mauaji wanayafanyaje mbona wana nyuso za kondoo saana wanaonekana wakarimu, au kuna wageni toka nchi jirani huja kufanya hili tukio?
  6. K

    JamiiForums Tanzania MWANZA: Mtu Mwingine auawa kwa kukatwa mapanga usiku Sengerema

    visasi ni hatari saana usikute huko mtu akiumwa kansa na ukimwi watasemwa karogwa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wenye nyumba na kutolipa bili za umeme na maji

    jamani kuna tabia imejitokeza sasa wenye nyumba wengi hawalipi bill za umeme yaani anachangisha hela kama chumba uwepo usiwepo utalazimika kulipia kwa mwezi, yaani unalipa kama mkataba wa nyumba. Pili ukiangalia mzunguko wa mwezi unakuta mpaka wote muishe yeye huwa hatoi hela maana tarehe moja...
  8. K

    JamiiForums Tanzania MOROGORO: Polisi inawashikilia watu 11 kwa tuhuma za ubakaji na udhalilishaji wa mwanamke

    so sad kwa huyo hao watu washamba saana bado wanamawazo ya mitungo mpka sasa,
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kesi zimesimama tunaomba majaji mahakama kuu Sumbawanga

    pole saana muzidi kuwaombea
  10. K

    JamiiForums Tanzania Chumvini kumesababisha maafa, msaada tafadhali

    duuu huu uzungu mpk tuoze midomo
  11. K

    JamiiForums Tanzania Amjaza mimba mtoto wa dada yake

    jamaa nyoka wake nahisi akisimama hutoboa mpk suruari sio kwa nyege hizo
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naomba nyie wachuchu muache kuendekeza dhiki, mnajishusha sana

    mi naomba powerbank yako
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama zetu ni zaidi ya duka

    sasa unalalamika shilingi elfu mbili wakati wamekufanyia kinyume cha sheria na wanatakiwa wajibu kwa nini wamepoteza kodi kutoka kwa wananchi mhuri ni 20 wamekufanyia utu wee unawashtumu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kinondoni tu?

    wengine wanataka waonyeshe kwa vitendo sio kujitangaza kwenye media uzi wako unaoneka hauna mvuto kwa wengine
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe ungefanya nini kwa mwanamke huyu?

    pia wanaume tuwe makini na hizo bikira siku hizi nyingi za kununuliwa kigoma zinauzwa elfu mbili tuu na unatoa damu ni bora umkute tuu hana utakuwa na akili ya kwenda kupima pia huyo dada ni muuaji mbona kule wanakochukulia dawa wanakuwepo wanaume wengi tuu wanaoana lkn sio kuja kutaka kumponza...
Back
Top Bottom