Recent content by kenge 10

  1. kenge 10

    Aliyetumia Silent Ocean - naomba msaada wa ufafanuzi

    Itategemea na package km zipo kwenye box. Watachukua height x lengh x width
  2. kenge 10

    Siku hizi ukikutana na mtu ambae hukumchangia harusi yake basi utakuta hakuchangamkii kama zamani

    Mwezi mmoja nyuma waliniadd kwenye group la michango bila kuniuliza. Nika mute group shughuli ikaisha.
  3. kenge 10

    Hivi Lugha yenye watumiaji wengi ni ipi duniani kati ya Kiarabu na Kiingereza? Kulikoni Safari Channel iweke subtitles ya Kiarabu?

    Hua wanaweka subtitles tofauti tofauti nilishawahi kuta ya kichina na kifaransa. It's normal usiogope.
  4. kenge 10

    Kwanini wazaramo hawaumizwi kimapenzi?

    Hawana hulka za kuuana tu. Ukiacha kukosekana mauaji ya visa vya mapenzi hata kuua albino, vikongwe na visa vingine vya kishirikina hutosikia. So wana namna ya kudeal na hizi issues bila kuuana sababu sio imoja ya solution.
  5. kenge 10

    Rafiki zangu Wadigo, pelekeni watoto shule, formal schooling, zipeni msisitizo kama mnavyo zipa msisitizo "chuo" madrasa

    Kuna Lecturer wangu pale TIA Mungu amrehemu, alitupa story za masomoni huko nchini Israel. Akatuambia jamaa wanaamini unapokutana na muAfrika ni heri asiesoma utamwambia kitu atakuelewa ila aliesoma ndiyo kabisaaa haelewi mbumbumbu. Na kiuhalisia ni ukweli maana huko pwani tusiposoma hatuui...
  6. kenge 10

    Azam tv sio burudani kwa wote ni burudani kwa waturuki. Mnaboa sasa

    Itv alituintroduce kwa wakorea sio mbaya na Azam achague kwake. Alafu tulishaangalishwa sana mapunga kwa wafilipino acha tuangalie mandevu na majambia sasa.
  7. kenge 10

    Vitu ambavyo vinawasumbua na kuwagharimu wengi ambavyo huwa naviona havina nafasi kwangu

    2 na 3 ni kama mimi. Kwanza kuhusu simu, sijua hata issues za simu gani ina nini, sijui imefanya nini. Ninachojua kuhusu simu ni hii my f*ckng Techno F1, ambayo nimeiongezea thamani kwa application ya Microsoft Office so vurugu zote nazifanyia humo. Hapo kwenye kunyoa toka nipo dogo father...
  8. kenge 10

    Wazungu wapewe maua yao na si lawama, Utumwa ulikuwepo Dunia nzima, Wao ndio walikuwa wa kwanza kuanzisha harakati za kuufuta

    Maslahi ya watumwa yalimalizwa na maendeleo ya science na teknolojia. Weupe wote wanaishi na sisi kimaslahi tu. Sasa wewe jione unapendwa.
  9. kenge 10

    Vituko vya mamelodi mwaka 2016 alitolewa Champions league kisha akaenda akatolewa kombe la shirikisho. Maajabu akatwaa ubingwa wa champions league

    Wananchi walikua wanasema role model wao ni Mamelodi. Je, bado ni role model wenu?
  10. kenge 10

    Kuna sehemu hatari kuishi kama South Africa?

    Hua nawaza World Cup pale Mexico 2026
  11. kenge 10

    TEC, CCT, CPCT Kemeeni yanayoendelea Zanzibar ili kuwalinda Wakristo waishio Zanzibar

    O level kwenye civics tunasoma union and non union matters. Inaonesha tukishafanya Necta tunashau vyote. Watanganyika wenzangu, hata pale US different states different rules.
  12. kenge 10

    Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Generally napenda jinsi majina ya kibantu yanavyosound, yani ile kibabe flani hivi:- Mukoko Tonombe Bobosi Byaluhanga Makabi Lilepo Dango Ouattara Aliou Dieng Halafu kuna watoto pale Arsenal academy majina yao yanasound poa :- Myles Lewis- Skelly Brooke Norton-Cuffy Amario Cozier- Duberry Reuell...
  13. kenge 10

    Uhusiano wa Kristo na Krishna

    Kama unarefer ile movie ya Htrik Roshan.Yule wa kwenye movie ni mtu aliyeadapt jina la Krishna sio huyo Krishna Mungu wao. Yaani km itoke movie halafu starring Jesus Moloko.
  14. kenge 10

    Uhusiano wa Kristo na Krishna

    Yesu alipozaliwa Nyota iling'aa angani. Mtemi Mirambo alipozaliwa nyota ilishuka kisimani. Hapo vipi, ifike sehemu na sisi wabantu tujipakulie minyama.
Back
Top Bottom