Wana jamii:
Nimetuma pesa nje ya nchi kwa mwezi mzima mpaka sasa haijafika kila nikienda naambiwa tatizo lilikuwa address, mara ya pili baada ya wiki mbili nikaambiwa tatizo ni account no. Juzi nikaambiwa sasa kesho itafika. Leo biashara yetu imefeli kwa sababu pesa haikufika kwa sababu...
Kwa uelewa wangu (si mkubwa sana), kila shirika, taasisi, n.k., ya umma ina staff development policy ambayo inaongoza utaratibu husika. Kwa upande wa waraka wa kisheria naomba wanasheria watuambie ...
Ndugu wana jamii,
Leo nimeenda Regency kisha kumpeleka mtoto na mama. Kwakweli kunajaa kiasi kwamba hata madaktari wamejiwekea idadi ya watu wanaowahudumia. Tuliwahi kisha mimi nikapeleka kadi ya mtoto na mama ili kuwahi namba kama iivyokuwa siku zile za kuhesabu namba shule za msingi.
Nikatoa...
Ki msingi Lameck ni kijana mwenye mitazamo ya maendeleo. naamini kuwa anaweza kufanya mengi akipewa nafasi. Pia naamini kuwa hata akikosa ubunge bado anaweza kuendelea na moyo wake wa maendeleo katika jamii ya Rorya hasa katika nafasi ya udiwani wake. Ila nawakumbusha kuwa Kijiji cha Mika bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.