Recent content by kendakubonaontwale

  1. kendakubonaontwale

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Mazda CX 5

    Utapata shida kupata vifaa vyake
  2. kendakubonaontwale

    JamiiForums Tanzania Huduma kwa wateja ya TANESCO Gongola Mboto ni jibu

    Nyinyi Tanesco ninyi mimi siku ya nne hii sina umeme mita IMETEMPle ila kimbembe kupata hiyo no ya kuclear mita ....kila utakapopiga wanakwambia case ipo kwa muhasibu Jamaniii[emoji19] case no 3601 kituo gongolamboto nipeni hiyo number.
  3. kendakubonaontwale

    JamiiForums Tanzania Huduma kwa wateja ya TANESCO Gongola Mboto ni jibu

    Alafu kauli mbovu mbovu most wanatoa wale wa KIUME wa kike wana afadhali kidogoo yaani wa KIUME akikupokelea simu jiandikie kukwazikaaa. Kuna mmoja anaitwa Jovin huyo afadhali kuna mwingine huyo mpka kujitambulisha hapendagi kabisaaa yaani he is worse. TANESCO mna ubia Naye?
  4. kendakubonaontwale

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO LINI MTANDAO UTAREJEA? NINA SIKU YA TATU SASA SINA UMEME ,MITA IMETEMPLE NIMETUMIWA NO ZA KU CLEAR KILA NIKIWEKA NAAMBIWA REJECTED(SIKU YA TATUU HII). MAFUNDI WA TANESCO WAMEKUJA WANATOA MAJIBU SIMPLE "SYSTEM IPO CHINI IKIKAA SAWA TUTAKUTUMIA NO ZINGINE UWEKE"[emoji3166]HIYO SYSTEM...
  5. kendakubonaontwale

    JamiiForums Tanzania Huduma kwa wateja ya TANESCO Gongola Mboto ni jibu

    Gongo la mboto huduma kwa wateja mna shida ganiiiii jamaniii ? Yaani mpka tunapiga Ilala ndio mtafutwe ninyi kweliii? .tane usiku ukiwapigia ndio kabisaa jiandikie maumivuu ,hamtoi huduma masaa 24?
  6. kendakubonaontwale

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Uingereza yanyoosha mikono na kupendekeza kufuata nyayo za hayati Magufuli kuhusu kupambana na Corona

    Hujaambiwa usivae nawewe [emoji848]ulishauriwa vaa ila zilizotengenezwa ndani au ulioishona mwenyewe .
  7. kendakubonaontwale

    JamiiForums Tanzania Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

    Huyu walichelewa wakati wanashtuka ye tiari alishamaliza mzigo pesa akazitakatisha Kwenye maduka hivyo yupo safe kwa sasa
  8. kendakubonaontwale

    JamiiForums Tanzania Dar: Mtoto Zuhura Ayubu, apigwa, achomwa na kifaa cha moto na baba yake mzazi

    Exactly hii ni depression Huyu baba nahitaji msaada wa haraka .kama hujawahi pata depression huwezi elewa hata kidogo hiii kitu aisee
  9. kendakubonaontwale

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwanini NHIF wanaendelea kuondoa baadhi ya DAWA? Shida ni nini ?
  10. kendakubonaontwale

    JamiiForums Tanzania Shirika la Afya (WHO) lasema sio sawa kwa matajiri kupata chanjo kabla ya masikini wenye uhitaji zaidi

    Wakati wanaanza kuzigawa nahisi walitegemea Sisi' kupiga kelele zianzie kwetu [emoji38], wameona tupo kimya wanaanza kuja na mkakati mwingine ili mradi tu tuzipate. HATUZITAKI pambaneni nazo wenyewe [emoji16]
  11. kendakubonaontwale

    JamiiForums Tanzania Designated survivor: Ni kweli Makamba Jr amejitunza asichafuke ili aje kupita kugombea Urais?

    Mmm Makamba hapana kwakweli , labda kama wanataka nchi iludi Kwenye zile zama za kale,
  12. kendakubonaontwale

    JamiiForums Tanzania Natafuta paka: Panya wananitesa sana, mimi niko Dar es Salaam

    Atakuwa anaishikaribu (jirani) na mfuga kuku
  13. kendakubonaontwale

    JamiiForums Tanzania Natafakari juu ya kiwanda changu cha toothpicks, sijui ntafanikiwa au sintofanikiwa?

    Pole sana ila usikate tamaa bwana. Ila nimecheka ulivyomalizia vidonda vya tumbo vinakunyemelea
  14. kendakubonaontwale

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dhahabu

    Ngoja waje
Back
Top Bottom