Recent content by Kenan john

  1. Kenan john

    JamiiForums Tanzania HOJA Mkopo unanitesa sana, si jambo rahisi kama wengi wanavyofikiria

    Niliwahi kukopa Mbolea kwa mtu ili nilime nilipe Mazao.. bwanaee sio yaligoma mazao..ule mwaka sijawahi kuhusahau nioipomaliza mkopo..ila ndio ilinisaidia kuanza Maisha mapya kabisa kiuchumi
  2. Kenan john

    JamiiForums Tanzania Mara: Walimu sita wa kidato cha Sita mbaroni kwa mauaji ya mwanafunzi wao

    Najaribu kuvaa viatu vya hao waalimu sasa..dah..wametoka nyumbani salama na wakijua wanarudi salama..mikosi gani hii jamani😭
  3. Kenan john

    JamiiForums Tanzania MTV: Mwisho wa enzi

    Sasa mbona DSTV inaendelea kuondoa contents muhimu
  4. Kenan john

    JamiiForums Tanzania Nafurahi Watanzania wameanza kuamka JF na mitandao mengine katika kuwakataa wanaharakati na kuhubiri Amani

    Kuna wakati ukikaa kwa kutafakari kwa umakini utagundua kuna wanaharakati walitaka kutupeleka siko..hawahubiri Maandamano ya amani bali wao wanataka watu watoke waandamane(Fujo,kuharibu miundombinu na Ghasia)
  5. Kenan john

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie jinsi ya kupata mtaji, nimekwama sana

    Nimetaka kuandika sana ile nashindwa..in short ushauri wangu ni huu kama kweli unataka huo mtaji fajya kuutafuta kwa njia yoyote hata kama una ardhi uza tu,hata kama ni ardhi ya urithi najua huwezi kukosa
  6. Kenan john

    JamiiForums Tanzania Ndoto yangu ni kumiliki biashara ya simu baada ya kuuza mpunga wangu

    Hapo unaweza kumpoteza kwa sasa simu hasa vitochi na accessories zinaagizwa kila leo na Ma Giant ktk Soko...Bora aanze kwa kujumua Kariakoo au mkoa aliopo kulingana na Trend iliyopo kuliko kukurupuka kuagiza kwanza kisha akipata uzoefu ndio aanze kuagiza...
  7. Kenan john

    JamiiForums Tanzania Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

    😀😀😀😀👆
  8. Kenan john

    JamiiForums Tanzania Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

    Hii sio tunapangwa kweli😀
  9. Kenan john

    JamiiForums Tanzania Naomba wazo la biashara kwa mtaji wa Tsh 1.5M

    We jamaa umeongea kitu kikubwa sana👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
  10. Kenan john

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa tajiri overnight, acha kabisa hizo ndoto

    Hujakosea mkuu..Trust the process
  11. Kenan john

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Hii kampuni nahisi ni ya MASUSU TRANSPORT
Back
Top Bottom