Recent content by ken origi

  1. K

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta nyimbo hizi mwenye anazo anisaidie.. !. Kalapina- Asiyekubali kushindwa sio mshindani 2.Tatuu - Penzi la daima 3.Miss sarah - Nikuite jina gani mpenzi 4.Complex - nyimbo imenitoka ina beat flani nzito.
  2. K

    Kenya inamong'onyoka polepole wakati sisi tunaboom

    Matusi ndio mnajua..kuliko kitu chochote
  3. K

    Kenya inamong'onyoka polepole wakati sisi tunaboom

    Watanzania acheni kuishi kwenye ndoto..kenya taifa la wanaojitambua miaka mingi hamuwezi kuwazidi hata siku moja...chuki zao za kisiasa sio kwamba eti wanasabotage uchumi wao...kenyans are hard workers....intelligent people...sio nyie wavivu wa fikra mnakesha mitandaoni kupost...
  4. K

    Uchaguzi huu tujifunze kupitia kupitia Guinea!

    Ccm vichwa panzi sana wanadandia tu mada wakati uelewa wao finyu sana...
  5. K

    CHADEMA hawana fadhila, leo wamemsahau Sabodo

    Kwa hiyo unataka wamtungie wimbo au? Hahahahahahahahahahaha.....
  6. K

    CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena!

    Pasco umetisha kaka....nimekukubali...Chadema wamefanya bonge moja la usajili...
  7. K

    CHADEMA wamesajili Ronaldo jana, muda wowote CCM wanasajili Messi, Kazi ipo!

    Dr.Slaa akija CCM that means hawezi kufanya siasa tena, Labda aende ACT. Maana majaliwa ya siasa za Mzee Slaa yanategemea kuisema vibaya CCM na serikali yake, nje ya hapo hawezi siasa. Hii point ya bwana Mussa Allan...nimeielewa sana...slaa astaafu siasa tu na arudi kanisani kama ndugu yake...
Back
Top Bottom