Recent content by KEMUODIO

  1. KEMUODIO

    JamiiForums Tanzania Karibuni tupeane Majina mazuri ya watoto

    Mariaclara
  2. KEMUODIO

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    barikiwa sana ndugu Ontario kwan darasa tulilopata ni zaidi ya tujuavyo sisi kwan ni nadra sana kupata mamentor ambao very deeply in teacher and care,also for you kwa kuona kuna watanzania ambao ukiwapa hii frusa wataiweza na pia kutukwamua katika maisha.in such matunda yameshaanza kuonekana...
  3. KEMUODIO

    JamiiForums Tanzania Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    mm ndo naanza safari kesho natokea mkoani mpakani na shinyanga huku,kufika huko ni ijumaa jioni
  4. KEMUODIO

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mungu awatangulie wale wote watakaoanza safari ya kwenda kupanda elimu ya forex,Ndugu ONTARIO MUNGU akubariki kwani umepambana hadi kufikia mafanikio tuko pamoja
  5. KEMUODIO

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Umeonae kuna news ilitolewa
  6. KEMUODIO

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tendo la ndoa baada ya kujifungua

    ina maana huyo mtu ana uchu wa namana gani?je akisafiri huwa anaishi ishi vipi awapo safarini?mkeo ni mkeo tu mpe nafasi akulele mtoto,mimi huwa nahama hata chumba kwa muda ampe mapenzi motomoto mtoto wetu.
  7. KEMUODIO

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Barikiwa sana Mhenga tupo pamoja
  8. KEMUODIO

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    ndo nilikuwa na maana hiyo mwana wa ngurumo,nahamisha sl nikiwa kwenye faida na si nikiwa kwenye hasara,na pindi account imeanza kupukutika inanikuwa sl iko kwenye faida so inaniacha nikiwa na faida
  9. KEMUODIO

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    asante mkuu nimekuelewa sana thanks
  10. KEMUODIO

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wote wanaosoma JamiiForums

    matayarisho kwanza,mimi bila mwanamke kutoa kimoja then mimi ndo nitoe,yeye anatoa cha pili mimi cha kwanza
  11. KEMUODIO

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Bwana Ontario wewe ni wa kipekee sana kwani tokea huu uzi umeanza hakika hakuna mtu ameacha kupita hapa jamii,umewafanya watu wawe bize muda wote,najua wewe ni mmoja mwenye nia nzuri ya kuwakwamua watu kwenye lindi la kukosa ajira na pia hata wale ambao hawajabahatika kuendelea na masomo,ila...
  12. KEMUODIO

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    mimi SL naweka ila ikipanda currency juu na mimi nahama na SL hadi najikuta SL inakuja kukata ikiwa kwenye faida kama currency inashuka sijui kama hapo nitakuwa nakosea wadau
  13. KEMUODIO

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    pamoja kiongozi Mungu akujalie uzima
  14. KEMUODIO

    JamiiForums Tanzania Unapenda mwanamke au mwanaume wa aina gani?

    mm napenda mwanamke mkorofi mbabe hapo tutaendana
  15. KEMUODIO

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Having A Daily Risk Limit I recommend having three to four risk thresholds as part of their trading plan. They are: 1) A max risk per trade 2) A max risk per day 3) A max risk per week 4) A max risk per month A max risk per trade should be based upon your NOTE: You cannot calculate your...
Back
Top Bottom