Recent content by kemet

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ujio wa wachina laki 3 Tanganyika uwe na tija kwa Taifa na si kwa ajili ya watu wachache na jamaa zao

    Kusema ukweli inaumiza sana kuona hawa wachina wananunua mpaka milima kwa lengo la kuchimba mawe ya kutengeneza mabo,milima inachimbwa mpaka inaisha yanabaki mashimo na nasikia dhahabu wanapata na wanachukua,mazingira yanaharibika.....Inaumiza sn
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wanywa pombe kali huwa mnajiuliza swali hili mkiwa mnakunywa?

    Umenena vzr
  3. K

    JamiiForums Tanzania Anaejua tiba specific au njia yoyote iliyomsaidia kutibu haya madude anisaidie please

    Nunua mashine yako ya kunyolea utumie kila ukienda kunyoa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Makao Makuu ya EAC Makonda hoi bin taabani.

    Duh! ulikunya Kreti la bia...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Historia fupi ya mji wa ROMA

    Walijuaje kutembea kama Binadamu maana walilelewa na Mbweha,pia waliujuje ukoo wao?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hii ni Breakfast ya 1500. Akili mtu wangu!

    Dah hatari sn, gas na usingizi vinahusika hapo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

    Naamini Watanzania wengi wamelelewa katika msingi ya kidini iwe uislamu,ukristu au uhindu lakini bado kuna ufisadi,hivyo kuweka somo la dini kwenye tahasusi sidhani kama itapunguza ufisadi.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Bashe, Tofauti ya Sukari Kutoka Brazil vs itokayo Zambia na Uganda ni ipi?

    Ukienda Mbeya sukari inayotumika ni kutoka Malawi na Zambia toka kitambo,na naamini kwenye 'border' zingine Sukari toka nchi jirani itakuwa inapatikana kwa wingi na kwa haraka,nabaki najiuliza kwanini Sukari isubiriwe toka Brazil ambako ni mbali wakati nchi jirani sukari ipo ya kutosha?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ningeweza kulibeba hili jengo ningefanya hivyo!

    Kwani aliyeruhusu kuchimbwe na aliyetoa location ya kumwagwa kifusi ni nan?kama sio wahusika ambao ni timu ya wajenzi
  10. K

    JamiiForums Tanzania Je, ushawahi kukutana na kibwengo au jini barabarani/ popote; ulifanyaje?

    Hiyo ilikuwa Tanga Tech
  11. K

    JamiiForums Tanzania Je, ushawahi kukutana na kibwengo au jini barabarani/ popote; ulifanyaje?

    Nkumbuka ilikuwa usiku wa saa nane bweni la Tembo nimetoka zangu nje kupnguza maji ya kibofu ile nimeanza tu kukojoa nsikia ndala zinalia pa pa pa.... Kucheck naona kitu cheupe kifupi hakizidi futi 2 kinapita kimevaa nguo nyeupe dizaini ya kanzu hivi kiko umbali wa kama mita 40 hivi giz...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa kumlaumu sultani na usultani

    Acha udini! The topic is purely politics! Tatizo mtoa mada ndo ameingiza udini we soma vzr bandiko lake
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini BAKWATA isiwashawishi waumini wake kutumia msikiti ulio nje kidogo ya terminal 2 mkabala na kituo cha Puma?

    Ukienda Airport za Kimataifa nyingi tu utakuta mishale ya kukuelekeza "PRAYER ROOM". Sasa kwani tatizo hapo liko wapi?, Ni suala la Cultural tolerance tu! Hivi kuna tofauti kati ya msikiti na prayer room?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hivi hii kozi ya urban and regional planning ndio ikoje?

    Ninavyojua hata choo hauruhusiwi kudesign maana sio taaluma yako,ww ni kupangilia mji tu mf.nyumba za makazi zikae wapi,viwanda vikae wapi,masoko yakae wapi,nyumba za ibada zikae wapi,sehemu za wazi zikae wapi n.k
  15. K

    JamiiForums Tanzania Geita yajenga shule ya Serikali ambayo ni English medium

    "MKOA wa Geita upo hatua za mwisho kukamilisha ujenzi wa shule ya msingi ya mchepuo wa Kiingereza ‘English Medium’ ambayo itakuwa ya kwanza kujengwa na serikali nje ya mkoa wa Dar es Salaam" Hivi ile shule ya MKAPA PRIMARY SCHOOL(English medium) iliyopo mkoani Mbeya mjini ni ya private?
Back
Top Bottom