Nimeziona kwa mshikaji ukizituma humu unashikwa na watu wa mtandao maana ni mbaya mbaya sana , yaani mtu analiwa tigo anasema zilikwa za zamani , hapo umuite wife material ,.amevuna alichopanda yaani umruhusu mwanaume akupige picha unaliwa tigo unasema umeumia , hata mimi nimeumia sana mambo ya...
Rais Magufuli Amtumbua Mtu Aliyekuwa Akiiba Milioni 7 Kila Dakika Kwa Kushirikiana na TRA
RAIS Dk. John Magufuli amemtumbua mfanyabiashara mmoja maarufu Dar es Salaam, aliyebainika kufanya miamala ya fedha ya Sh milioni saba hadi nane kwa kila baada ya dakika moja.
Kutokana na hesabu ya Sh...
MAGUFURI ILI UPATE KURA YANGU 2020 HADI UNIRUHUSU NICHUKUE HERA YANGU YA NSSF HUWEZI KUIZUIA ETI HADI NIFIKISHE MIAKA SITINI WAKATI WA SASA NI 29 HIYO MILLION 5 INATAKUWA NA THAMAN KWELI BAADA YA MIAKA 31
hii tanzania ya magufuli unadai form four wasome certificate wakati huo umeifuta umeweka ORDINARY DIPLOMA IN PRIMARY EDUCATION (PRE SERVICE), maanake nini ?
kwa hili nakuunga mkono hasa sisi watoto wa maskin tuliosomeshwa na ndugu, usipounga hili la elimu bure hasa chuo kikuu na wadaiwa kufutiwa mikopo yao una matatizao
watoto wa maskini wasio na ajira kufutiwa deni la mikopo ya elimu haiwezekani, ila kuiba billion 306 kutoka benki kuu inawezekana na twiga kupandishwa ndege inawezekana, million kumi kuwa hera ya mboga inawezekana.hii ndio tanzania ya upinzania uongo ila ya ccm ukweli
ww ndio mpumbavu mwenyewe mnatudanganya mtatoa milion 50 kwa kila kijiji ili zifanye nini au mnawatafutia makada ulaji na mgombea wenu,ila za wanafunzi wasio na ajira kufutiwa mikopo yao haiwezekani acha porojo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.