Recent content by kelvin_sigwa_1

  1. K

    JamiiForums Tanzania Chadema is Ideologically traumatized and Politically Incapacitated

    ngoja nikujib kwa kisw maana unaonekana unatumia nguvu nyingi kuandk englsh yak, ipo ivi awo wabunge wote walioamia ccm ni njaa zilizowapelek uko iyo ni baada ya kuona watashndwa kweny uchaguz wa 2020 kwasabab yakukosekana democracy ya kwel, na wizi wa kula unaofanyw na chama tawala kwa kutumia...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Sokoine University Of Agriculture Special Thread

    Ivi sua ndo mnakua wakulima au?
  3. K

    JamiiForums Tanzania St john university

    Ntumie link mkuu,0652105410 its ma no.
  4. K

    JamiiForums Tanzania St john university

    Itakua safi sana, kama vp kua ww maana ndo umeleta idea
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada tiba ya vidonda vya tumbo

    Ana miaka 2 mkuu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada tiba ya vidonda vya tumbo

    Nitashukuru sana mkuu, nitumie namba nimtafute
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msaada tiba ya vidonda vya tumbo

    Mama angu anasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo ameshatumia sana dawa za hospital, msaada kwa anaye jua dawa za asili ili nijaribu kumpa nazo msaada wenu wana jamii!!![emoji33]
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nimeconfirm vyuo viwil tofauti nasaidikaje

    Wasikutishe bwana leo nilikua udsm ucc, wameniambia watu kama ao wapo na utaratibu wa ku unconfirm unawatumia email wanakutoa wala amna shida cjajua institute nyngne
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nimeconfirm vyuo viwil tofauti nasaidikaje

    Wasikutishe wambie wakukate sehem 1
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nimeconfirm vyuo viwil tofauti nasaidikaje

    Na mm imenitokea bt nimeenda udism ku unconfirm wamesema wanashugulikia maana tupo weng wenye case kama iyo
  11. K

    JamiiForums Tanzania Diploma in Diagnostic Radiography

    Unatutisha mkuu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Diploma in Diagnostic Radiography

    Vp kuusu ajira zak kiongoz
  13. K

    JamiiForums Tanzania Diploma in Diagnostic Radiography

    Vp kuusu ajira zake mkuu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Elimu inazidi kuwa ngumu

    Wasome nakati ajira, acha kuwapotosha wambie walime
Back
Top Bottom