Recent content by kelvin omataro

  1. kelvin omataro

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuchangisha michango kununua gari jipya la Lissu ni wizi

    Ni sahihi kabisa maana ni mchango wa hiari
  2. kelvin omataro

    JamiiForums Tanzania Amshtaki mwanamke aliyemuoa baada ya kujua ni Mwanaume

    Tutaona mengi
  3. kelvin omataro

    JamiiForums Tanzania Kwanini ugonjwa wa Ebola huwa hauvuki mpaka wa DRC kuingia nchini?

    Hauvuki kwa sababu mgonjwa wa huo ugonnjwa huwa hana uwezo wa kutoka sehemu moja kwenda nyingine
  4. kelvin omataro

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Job Ndugai arejea Bungeni leo Aprili 13, 2022

    Ndo muda mwafaka wa kumjua zaidi kwa bwebwe zake
  5. kelvin omataro

    JamiiForums Tanzania Zitto kama Mazingira ya kisiasa ni mazuri, umeruhusiwa kufanya mkutano wa hadhara wapi?

    Anajipendekeza kwa serikali ili aone km mama anaweza kumtoa mtaani na kumpa nyadhifa
  6. kelvin omataro

    JamiiForums Tanzania Zitto: Uuzaji benki ya NBC ulifanywa ovyo ovyo

    Hana jipya alishaonekana anayumba kama dela
  7. kelvin omataro

    JamiiForums Tanzania Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

    Kila enzi na muda wake na hao wazee sio wanaomteua hivo sioni km kuna haja ya kuachia nafac yake
  8. kelvin omataro

    JamiiForums Tanzania Tarime: Wasimulia kuwashwa, kuharisha, kutapika, kuhara damu, mifugo kufa kisa maji ya Mto Mara

    Hizo tume zote mbili huenda zilienda kimchongo
  9. kelvin omataro

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yazidi kuiteka Tanzania

    Huo ni mtazamo wako maana una mawazo mgando tambua chadema ilikaliwa vibaya na ikazuiwa kufanya mikutano hivo wakaua mfumo ulio kuwa umezoeleka ndo maana unafikiri hayo ila jua kawa chadema ipo katka mioyo ya watu ndugu we subili utakubsli mwenyewe mzik wa chadema.
  10. kelvin omataro

    JamiiForums Tanzania January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!

    Hana mvuto wa kupendwa kufuatana mfumo alionao wa kujiona kuwa hakunamwingine kama yeye (ali maarufu Mungu mtu) na alipo yeye hakuna anayestahili kuwepo milele.
  11. kelvin omataro

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni mkanda na mkabila, hafai kuwa kiongozi hata kiduchu. Watanzania wamkatae na CHADEMA yake

    Hafai kuwa kiongozi kivpi na wakati yeye ni kiongozi wa chama na ukisema hayo je kanda ya ziwa kwa sasa tuna mawaziri wangapi? Kama ni ukanda na ukabira umeanzia kigumu kinatuumiza maana mwendazake alisema sehem ambayo wana viongozi wa upinzani hatawapelekea maendeleo na ni kweri alifanya hivo.
  12. kelvin omataro

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere kathibitisha umuhimu wa Tume huru ya Uchaguzi

    Hapana wamemshambulia mno, wangempa muda kwanza waone kuwa je ataweza kufanya shughuri kiufasaha na kuwa msemaji sio kwamba wewe ndo muandaaji bali we unapewa vitu vikiwa tayari unaenda kuutarifu uma ni kazi ambayo hata Senga au Hamorapa wanaweza hivo tumpe muda.
  13. kelvin omataro

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Spika Mstaafu, Job Ndugai?

    Ukipandacho ndo huvunacho lema aliwambia mkimaliza kutushugulikia mtajigulikia wenyewe hivo acha wafu wazikane yetu macho.
Back
Top Bottom