Recent content by kelvin Mugisha

  1. kelvin Mugisha

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wakuoa mwenye yupo tayari kua mke

    Mganga wako amekudanganya
  2. kelvin Mugisha

    JamiiForums Tanzania China imeunda Roboti zinazoweza kupigana

    Robot mwenyewe ndo huyu
  3. kelvin Mugisha

    JamiiForums Tanzania Fupisho la Kafia getto-Ni machozi,yaliyosheheni pumziko Zito lililofungwa katika kurudishwa nyuma kwa masiku

    Nguvu za kufanya kazi mnazo sema mnazitumia vibaya
  4. kelvin Mugisha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wizi wa Kura, Uvunjaji katiba, Covid 19, Jeshi na Jeshi la Upendeleo Vyote vinafanywa na CCM

    Kiufupi CCM wanaongoza nchi kwa Mabavu na Uchaguzi wao ni wa janjajanja lakini ukiwakuta wanavyo wadanganya wananchi wachache wasiojitambua ili wazidi kuwasifia katika maovu yao
  5. kelvin Mugisha

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu hawajitambui! Kimshahara kiduchu lakini bado anasema CCM mbele kwa mbele?

    Kama wao hawajalalamika we tulia maana ninachoamini wao ni watu wazima wanajua kuchambua jema na baya sisi haituhusu
  6. kelvin Mugisha

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyeshiriki kuchanganya udongo wa Muungano afariki dunia

    Amwambie Nyerere huu Muungano Hauna faida tutauvunja tu
  7. kelvin Mugisha

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua mke mmoja hatoshi, subiri mkeo ajifungue

    Bila kupepesa macho Mke mmoja hatoshi
  8. kelvin Mugisha

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua mke mmoja hatoshi, subiri mkeo ajifungue

    Bila kupepesa macho Mke mmoja hatoshi
  9. kelvin Mugisha

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Februari, mbona wengine hawajapata hadi leo

    Jiajiri uone kama utaulizia kuhusu mshahara
  10. kelvin Mugisha

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Hela ninazompa atunze zinakuwa pungufu bila maelezo ya kujitosheleza, nini kimejificha?

    Kwa single mother amna cha kukushauri zaidi ya kukupa pole
  11. kelvin Mugisha

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa siku hizi wamewafanya watoto kuwa watumwa wa elimu

    Ndio maana watoto wengi wanakuwa na uelewa finyu wa maisha kwa sababu wamekaririshwa Elimu ndo kila kitu ndo maana huwezi kufanikiwa maisha kwa kutegemea Kuajiriwa utaishi kuwa mtumwa wa kazi kwa sababu hauna maarifa au ujuzi wowote wa kuweza kujiinua zaidi kiuchumi
  12. kelvin Mugisha

    JamiiForums Tanzania Kuna mwenye experience ya kudate na mwanamke anaemiliki pub?

    Sina uzoefu ila Trump amezuia Arv
  13. kelvin Mugisha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sikujua kama mateso wanayopitia wana CHADEMA ni makubwa kiasi hiki

    Lakini mjue zanzibar panazidi kupendeza kuliko kawaida mpaka amalize mitano mingine mtanyooka watanganyika
  14. kelvin Mugisha

    JamiiForums Tanzania Iwapo Lissu atashinda Uchaguzi, Makao Makuu ya CHADEMA yatahamishiwa Ubelgiji?

    Wewe kama haujashiba bora ulale kuliko kuamka unawaza mambo ya hovyo
Back
Top Bottom