Recent content by Kelvin Lwaikondo

  1. K

    Kinywaji cha Mofaya cha Ali Kiba

    Kumbe haujielew. Kinacho fanyika hapa ni swala la fans base kama unafans wengi unaenda kiwanda chochote unaingia nao mkataba wanatengeneza kinywaj au kitu chochote kwa jina ulalo dhan litakua bora then malipo ni kwa parcent big up to @alikiba.
  2. K

    Kwa wale tuliowahi kugegeda wanawake zaidi ya wawili siku moja

    Ukila Vya wenzio ujue vyako vyaliwa. Ukiskia mkeo analiwa na mchungaji utafanya nn?
  3. K

    Wasanii wa bongo fleva msitishwe na mafanikio ya WCB

    Sitaki kuamn ktk hlo. Tangu antoa nenda kamwambie. Ninyimbo ngapi katoa na nizp zmemtambulisha ktk ulimwengu wa muzk. Think about your successful. Au kwa kua nmuzki?? Ivi unajua klicho nyuma ya douj Mohammed!? Au said sud barcklesor.?
  4. K

    Mtego wa Rais kwa CAG

    Si kwamba hamwan CAG la hasha!! Bali kiuahalisia nikutaka report yenye uhakika kwa kua ktk nyanja zinazo ipa taifa fedha ni madin na uwezekano upo wa kufanywa figisu figisu ikatengenezwa report isiyo sahihi na ndyo maana amempa mkwara huo.
  5. K

    Kula kwa kutumia mkono wa kushoto kwa mtu mzima ni uchafu

    Tatizo ni kwenye kula tu!!! Sasa kuandika au kufanyia kazi mkono wa kishoto pana tatzo gan!? Nadhan hapana shda ila tuu si vyema Mtu mzma kula kwa kushoto.
Back
Top Bottom