Hello naitwa Kelvin nipo mbeya kwetu kwasasa(from kahama). Nimekuja mbele yenu tena ndugu zangu natafuta kazi/kibarua. Nna elimu ya ualimu wa sekondari.
Pia nna ujuzi wa kutumia computer (Ms office). Kwa hali ilivyo nipo tayari pia ikitokea kibarua cha aina yoyote nitafanya(duka, wakala...
Yeah mwenyew nliambiwa ivyo.. vipi mkuu kwaio haina haja ya kuandika barua kwajili ya kupostpone sindio
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Hello naitwa Kelvin kutokea Dodoma, naombeni ushauri nimecarry-over somo moja ambalo limeairisha nafasi yangu ya kugraduate mwaka huu UDSM (education).
Naomben ushauri anayejua jinsi ya kupostpone mwaka ili nitafute kwanza hela ya ada alafu nije nisome next year hiyo course. Nasubiria comments...
Njoo kahama mkuu maeneo yapo mengi kuanzia nyihogo mpaka kahama mjini na biashara iyo inawalipa Sana watu uku
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.