Recent content by Kelvin deluxes

  1. K

    JamiiForums Natafuta ajira, nimesoma BSc in Environmental Engineering

    Wakuuu mm ni muhitumu ya elimu ya juu katika kozi tajwa hapo juu, nlikua natafuta mahali popote pakujishikiza kufanya kazi yyte ile halali angalau niwe busy kuliko kukaa tu mtaani. Kwa yeyote aliena connection ya ajira au kibarua chochote nipp tayri. 0765305883
  2. K

    JamiiForums Msaada kusoma wildlife management

    Pale ni kama 3mil
  3. K

    JamiiForums Maombi; BSc. Wildlife management and tourism

    Ni kweli ndugu upo sahihi...lakin si wote Amini hivo.
  4. K

    JamiiForums Msaada kusoma wildlife management

    Naombeni msaada kwa mfadhili niweze kusoma wildlife management ndugu Kwa ngazi ya degree nipo tayri kufanya nae mkataba nikimaliza nimudishie garama zake tafadhari naomben msaada kwa hili.
  5. K

    JamiiForums Maombi; BSc. Wildlife management and tourism

    Ndugu zangu nlikua naumba ufadhili wenu kwa yeyote atakae pendezwa ili niweze kusoma io kozi ambayo nina passion nayo tokea niko mdogo na ni ndoto yangu kuisoma ndugu zangu nawaomba msaada kwa hili.
  6. K

    JamiiForums Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Dj.exclusive raggae mixtape 2019....unakataa kuwa downloaded youtube.
Back
Top Bottom