Kelvin deluxes
Member
- Aug 4, 2018
- 6
- 1
Ndugu zangu nlikua naumba ufadhili wenu kwa yeyote atakae pendezwa ili niweze kusoma io kozi ambayo nina passion nayo tokea niko mdogo na ni ndoto yangu kuisoma ndugu zangu nawaomba msaada kwa hili.
Ni kweli ndugu upo sahihi...lakin si woteTatizo la binadamu ataukimsaidia vp bado hana fsdhila