Recent content by kelvin complex

  1. kelvin complex

    JamiiForums Tanzania TBT: Waraka wa marehemu Chacha Wangwe aliyekuwa akigombea uenyekiti wa Chadema dhidi ya Mbowe

    Nini kiliendelea baada ya huu waraka?
  2. kelvin complex

    JamiiForums Tanzania Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

    Andendekisye
  3. kelvin complex

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kufanikiwa kweye maisha, acha kufanya kazi za kimasikini zenye asili ya kimasikini

    Mbona huku Tanga kuna wavuvi wenye maisha mazuri na wameweza kuwekeza sana hasa Wapemba
  4. kelvin complex

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza : Vyama vya Siasa ni vya viongozi siyo wanachama

    Tatizo ni kukosekana kwa uwazi katika uendeshaji wa vyama, hasa upande wa mapato na matumizi
  5. kelvin complex

    JamiiForums Tanzania Swali Chokonozi: Kwanini Mzee Mwinyi hakuzikwa kwao Mkuranga kapelekwa Zanzibar?

    Kitambo sana sijaona hiyo CC Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
  6. kelvin complex

    JamiiForums Tanzania Huu umeme wamekata nchi nzima?

    Tanga mjini maeneo ya Donge hakuna umeme muda huu
  7. kelvin complex

    JamiiForums Tanzania Je, umeionaje ngoma ya mapozi ya Diamond, Mr. Blue na Melody?

    Ngoma ni nzuri hasa verse ya Jay Melody, but haijafikia hata robo ya Mapozi original Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
  8. kelvin complex

    JamiiForums Tanzania Huu Hapa ukweli kuhusu Utata wa selemani aliyeimbwa na Mbosso..

    Mzigua, moderators warudishe jukwaa letu pendwa aka members only Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
  9. kelvin complex

    JamiiForums Tanzania Iddi Hamidu kashindikana asifananishwe na yeyote

    Side mnyamwezi wa Temba Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
  10. kelvin complex

    JamiiForums Tanzania Mbwiga wa Mbwiguke aombe msaada wa kuandikiwa kwenye mitandao ya kijamii

    Basi tulaumu mifumo yetu ya Elimu kuruhusu mtu kwenda mbele kabla hajamudu ya nyuma Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
  11. kelvin complex

    JamiiForums Tanzania Mbwiga wa Mbwiguke aombe msaada wa kuandikiwa kwenye mitandao ya kijamii

    Nasikia jamaa alisoma primary shule ya kijanja akiwa na Boss Jo, iweje mtu amalize la saba ya zamani lakini ashindwe mambo madogo hivo, au ndo wale wasela wa Enzi hizo Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
  12. kelvin complex

    JamiiForums Tanzania Ukisikia Paah Vs Mchuzi wangu ipi Collabo kali?

    Ukisikia Paa Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
  13. kelvin complex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msanii Eric Omondi ahukumiwa kifungo cha siku 30

    Niko njaa hata siezi karanga Hoehae shaghala bhaghala Niko tayari kulipa kulipa gharama Sitasimama maovu yakitawala Sitasimama maovu yakitawala Ufisadi ubinafsi ukabila Kuuza sura hawataki kuuza sera Undugu ni kufaana Sitasimama maovu yakitawala Siatasimama maovu yakitawala Hard kuget wadhifa...
  14. kelvin complex

    JamiiForums Tanzania Khaligraph Jones vs Tanzania rappers, Je Khaligraph atawaweza Wabongo?

    Niki sio msanii wa hivo, rudia kusikiliza futi 6, jamaa alizikwa mzima mzima. Wasanii bongo wako wengi sana wakali ingawa sio wote wanapenda battle
  15. kelvin complex

    JamiiForums Tanzania Khaligraph Jones vs Tanzania rappers, Je Khaligraph atawaweza Wabongo?

    Mawenge alivyotoa Ile diss track iliyojulikana kama futi 6, kwa Niki Mbishi unahisi kwanini hakukuwa na comeback
Back
Top Bottom