Recent content by kelnmyg

  1. K

    Msaada wadau simu inagoma kupakuwa App playstore

    Asante, nimefanya hivyo na imegoma bado! play store inazunguka tu ikiandika waiting for download na baada ya muda unacancel
  2. K

    Msaada wadau simu inagoma kupakuwa App playstore

    Wakuu habari ya leo? Simu yangu inanigomea kupakua app toka play store. Kama kuna mtu mwenye kujua mbadala wa play store and utatuzi kuweza kuifanya play store kuendelea kufanya kazi naomba msaada tafadhali. Asante
  3. K

    Njugu mawe kwa kiingereza

    Great thinkers, tafadhali naomba kujuzwa; NJUGU MAWE kingereza zinaitwaje? Asante.
  4. K

    Mahakama kuu yatengua hukumu dhidi ya Mbowe, yaamuru arudishiwe faini aliyolipa

    Mbowe ashinda rufaa dhidi ya hukumu kesi ya shambulio - Kitaifa | Mwananchi
  5. K

    Tanzia: Aliyekuwa muuguzi wa hospitali ya Taifa Muhimbili (Aunt Kessy) afariki dunia

    Wafiwa wote poleni sana. Lakini nadhani kuna kosa kidogo kwenye chapisho lako. Sister Kessy alipelekwa India wiki/miezi kadaa iliyokwisha na kurudishwa Tanzania. Alikuwa akiuguzwa KCMC mpaka mauti yalipomkuta kuamkia leo. Kwahiyo amefia Hapa hapa nchini akipata matibabu!
  6. K

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

    Mkuu MEADU mbona kama hii USTREAM iko kimya tu tangu niifungue? ni internet yangu kimeo au kuna kitu nakosea, sitaki kukosa kusikia hii riport "from the horse's mouth"!
  7. K

    Kweli Mungu yupo, Nimepokea muujiza by Tb Joshua through Emmanuel Tv" ninafuraha sana

    Bwana Mungu apewe sifa. Mungu akubariki sana na uendelee kumcha yeye!!
  8. K

    Malaysian flight is a mystery, but there are several more suprizing mysteries of missing flights

    Nine aviation mysteries highlight long history of plane disappearances (CNN) -- While such situations are rare, the puzzling disappearance of Malaysia Flight 370 is not the first time a plane has vanished without a trace. Here are nine cases of mysterious plane disappearances and disasters...
  9. K

    TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

    Listening to the clip i heard the prophet mentioning that this thing has shifted to East from West Africa and it will happen in the country it happened previously as people were dancing and drinking....I recall there was a blast previously in Kampala in bar/club if i am right then the country...
  10. K

    Familia ya Pombe Magufuli yatinga kwa TB Joshua

    Mimi naangaikia booking yangu ya mwezi June. "Better is not good enough, the best is yet to come". Garama (usafiri, malazi na ziada) zikoje ndugu1 Amiliki?
  11. K

    Texas Justice

    A big-city California lawyer went duck hunting in rural Texas. He shot and dropped a bird, but it fell into a farmer's field on the other side of a fence. As the lawyer climbed over the fence, an elderly farmer drove up on his tractor and asked him what he was doing. The litigator responded...
  12. K

    The Professor's Wife

    A professor of mathematics sent a fax to his wife: Dear Wife: You must realize that you are 54 years old and I have certain needs which you are no longer able to satisfy. I am otherwise happy with you as a wife and I sincerely hope you will not be hurt or offended to learn that by the...
  13. K

    **** Story

    There once was a nonconformist bird that decided not to fly south for the winter. He said "I've had enough of this flying south every winter, I'll just stay right here on this farm, what's the big deal, anyway?" So he stayed. Winter came and was very cold, the nonconformist bird had never...
  14. K

    Bado natafakari kauli ya Malima kwamba zile silaha ni mtaji mkubwa wa maisha!

    Buchanan Huyu ndugu ni muheshimiwa na ni mtu wa hotuba kwahiyo sitashangaa sana kama atasema vinasa sauti ni kwaajili ya ‘kujinasa' sauti yake mwenyewe ya hotoba ili baada ya kusikiliza na kurudiarudia mara kwa mara (‘ku-rehearse') huku akisahihisha, ‘atoke' na toleo la...
  15. K

    Bado natafakari kauli ya Malima kwamba zile silaha ni mtaji mkubwa wa maisha!

    Buchanan Huyu ndugu ni muheshimiwa na ni mtu wa hotuba kwahiyo sitashangaa sana kama atasema vinasa sauti ni kwaajili ya ‘kujinasa’ sauti yake mwenyewe ya hotoba ili baada ya kusikiliza na kurudiarudia mara kwa mara (‘ku-rehearse’) huku akisahihisha, ‘atoke’ na toleo la hotuba nzuri na yenye...
Back
Top Bottom