Recent content by Kelela

  1. Kelela

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Vyuo vinavyotoa kozi ya Ualimu wa awali ngazi ya cheti

    Naomba kujua vyuo vinavyotoa kozi ya ualimu wa awali ngazi ya cheti na vigezo vyake vya kujiunha. Kwa mwaka huu 2026
  2. Kelela

    JamiiForums Tanzania Utambulisho wako wa JamiiForums (jina) chanzo chake ni nini?

    "Kelela" Aina ya samaki jamii ya Changu mwenye kidoti cheusi karibu na mkiani.
  3. Kelela

    JamiiForums Tanzania Toyota Vitz Vs Toyota Starlet-Ipi ina Nafasi Kubwa

    1. Ipi ina nafasi kubwa? 2. Ipi imara kwa masafa marefu yaani kupiga ruti hata za mkoani mara moja moja
  4. Kelela

    JamiiForums Tanzania Dar hadi Musoma kwa gari binafsi ni masaa mangapi?

    Ninachokusudia Bus kubwa ni la abiria wengi, vituo vingi, tofauti na ukiwa unaendesha gari dogo binafsi kama ist, harrier, rav4 n.k
  5. Kelela

    JamiiForums Tanzania Dar hadi Musoma kwa gari binafsi ni masaa mangapi?

    Wakuu Kwema? Naomba aliyewahi kusafiri kwa gari binafsi Dar to Musoma au Musoma to Dar alitumia masaa mangapi? Nataka kupata experience. Maana nilisafiri kwa Bus nilitumia masaa 22 sio poa.
  6. Kelela

    JamiiForums Tanzania Basi ya Kampuni Gani Lipo Vizuri Dar es Salaam to Musoma Kupitia Kiabakari?

    Naomba kujulisha nataka kukata tiketi, kampuni gani ipo vizuri kwa ruti hiyo ambayo hawana ubabaishaji?
  7. Kelela

    JamiiForums Tanzania Ipi ruti rahisi zaidi ya kufika Butiama kutokea Dar es Salaam

    Ahsante sana, umenisaidia pakubwa.👏👏👏
  8. Kelela

    JamiiForums Tanzania Ipi ruti rahisi zaidi ya kufika Butiama kutokea Dar es Salaam

    Ahsante sana, Nauli ya Bajaji kutoka Kiabakari hadi Butiama Centre ni Tsh ngapi?
  9. Kelela

    JamiiForums Tanzania Ipi ruti rahisi zaidi ya kufika Butiama kutokea Dar es Salaam

    Ahsante sana, Nauli ya Bajaji kutoka Kiabakari hadi Butiama Centre ni Tsh ngapi?
  10. Kelela

    JamiiForums Tanzania Ipi ruti rahisi zaidi ya kufika Butiama kutokea Dar es Salaam

    Habari zenu. Ni ipi ruti rahisi zaidi ya kufika Butiama kwa mwaka huu 2026 kwa kutokea Dar es Salaam. Naomba kujua, Basi za Kupanda. Nauli kiasi gani? Shughuli kuu za kiuchumi za Butiama ni zipi?
  11. Kelela

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo yafafanua kuhusu Wanafunzi waomba mikopo wanaokwama kujaza taarifa za NaPA

    Changamoto ni kwamba hao viongozi wengi ukiwafuata HAWAJUI CHOCHOTE KUHUSU HIKI KITU cha NaPA hasahasa maeneo ya vijijini.
  12. Kelela

    JamiiForums Tanzania Kama hutumii mbinu hii katika biashara bado wewe sio mfanyabiashara bali mjaribu biashara

    Musimpopoe jamani, ameeleza vizuri ispokuwa yeye amebase kwenye brand name, ingawa brand ina vitu vingi ndani yake kama vile Name, Visual identities (logos, mabango n.k), values (thamani/tunu) na kadhalika. Na pia inaenda sambamba na marketing pia, maana kufanya branding pekee bila marketing ni...
  13. Kelela

    JamiiForums Tanzania The dark side of business

    Mtume Muhammad ﷺ amesema: "Msizifanye nyumba zenu kuwa makaburi. Hakika shetani hukimbia kutoka katika nyumba inayosomwa Surah Al-Baqarah." (Imepokewa na Muslim, Hadithi namba 780)
  14. Kelela

    JamiiForums Tanzania The dark side of business

    Kuhusu Kutoa Kafara Ng'ombe ni kweli, huwa wanamaanisha binadamu. Nakumbuka kama Miaka 18 iliyopita (ilikuwa ni around 2006 au 2007 nakumbuka) baba yangu mdogo alimleta bosi mchimbaji madini kijijini kwetu kuna mahali palikuwa kuna chenga za madini. Baada ya kufika pale Mwenyeji aliyempeleka...
Back
Top Bottom