Recent content by Kelatokyamosaliyi

  1. Kelatokyamosaliyi

    Hili wanalolifanya Wakurya sio sawa kabisa

    Ndugu yangu naona umekaririshwa na wazungu juu ya madhara ya kutahiri, lakini "the opposite is true one". Hujawahi kushiriki tendo hilo unawezaje kulishudia ubaya wake kama siyo kukaririshwa. Natamani kujua mila yako ili nikufahamu vizuri ulivyo 'staarabika!'. Wachaga wameishi Kilimanjaro miaka...
  2. Kelatokyamosaliyi

    Tahadhari: Wizi mpya maeneo ya shopping malls

    Hao dawa yao ndogo tu; tembea na simu mbili, moja touch na nyingine ya tochi. Akija kukuomba mtolee ile ya tochi kama atakimbia nayo. Sitaki ujinga mimi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  3. Kelatokyamosaliyi

    Postal/zip code ya Tanzania ni ipi?

    Angalia hiyo attachment itakupatia post code za nchi nzima.
  4. Kelatokyamosaliyi

    Kigoma Great University (KGU)

    Hiyo ya African Medicine siyo uchawi wa Kikongomani kweli?
  5. Kelatokyamosaliyi

    KERO: Bole International Airport - Addis Ababa

    Nimecheke kweli kwa hilo neno la SAIBABA
  6. Kelatokyamosaliyi

    Eti Meneja wa City Style Hotel naye kawa DED wa Itigi. Jamani tuweni serious kama nchi

    Mleta UZI nadhani ajiridhishe vizuri na elimu huyu DED Mpya maana Mwalimu Luhende Gerald ninayemfahamu kabla ya uteuzi huu alikuwa ni mkaguzi wa elimu tangia Kigoma na sasa alikuwa kanda ya mashariki akiwa na kituo chake cha kazi kule Morogoro.
  7. Kelatokyamosaliyi

    Somalis happiest in East Africa, Burundians most miserable in the world

    Somalis happiest in East Africa, Burundians most miserable in the world Wadau hii imekaaje! Somalis are happier than Kenyans, in spite of having endured war for more than two decades, a new report shows. Ranked at 76 globally in the 2015 World Happiness Report released by the United Nations...
  8. Kelatokyamosaliyi

    CV ya Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Prof. Godius Kahyarara inatisha

    Huyu Prof nae kiboko, form four kakomaa miaka MITANO du! ilikuwaje aanze 1981 na kumaliza 1985! o_O
  9. Kelatokyamosaliyi

    Dkt Shein Leo ni Siku ya 8 Tangu Ulipoapishwa: Katiba Inasema Siku 7

    Nadhani anashauriana na Jecha kuona namna ya kuifuta katiba na kuiandika nyingine maana iliyopo inasemekana ina makosa ya kiuandishi.
  10. Kelatokyamosaliyi

    Inatokea nini mtu napokufa?

    Mara kadhaa nimepata kusikia mitizamo tofauti juu ya mtu napokufa, wengine wakisema hubakia kaburini na kuoza tu. Wengine wakisema anaenda peponi kupumzika na hata wengine wamediriki kusema anaenda akhera kukabili mateso kwa yale maovu aliyotenda akiwa duniani. Nini mawazo yko kwa jambo hili?
  11. Kelatokyamosaliyi

    Jina la mtangazaji linakukosha!

    Maarehemu Tumbo Tamimu Risasi,
  12. Kelatokyamosaliyi

    Tunajidanganya na makusanyo ya Tax Arrears

    Barbarosa unaweza kuwa na point to make lakini unapotawaliwa na jazba kila kitu kinakuwa hakina maana. Toa hoja zako kwa staha na utaeleweka tu.
Back
Top Bottom