Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,491
- 2,355
Katiba ya Zanzibar inasema;
Sehemu ya Pili Makamo wa Kwanza wa Rais na Makamo wa Pili wa Rais
39.(1) Kutakuwa na Makamo Wawili wa Rais ambao watajuilikana kama Makamo wa Kwanza wa Rais na Makamo wa Pili wa Rais.
(2) Ndani ya siku saba mara baada ya kushika madaraka, Rais atateua Makamo wa Kwanza wa Rais na Makamo wa Pili wa Rais.
(3) Makamo wa Kwanza wa Rais atatakiwa awe na sifa za kumuwezesha kuchaguliwa kuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi 27 Hadhi ya Rais aliyepita. Makamo wawili wa Rais. Kif. 21 cha Sheria Nam. 9/ 2010.
LEO NI SIKU YA NANE TANGU ULIPOAPISHWA MKUU MBONA KIMYA KINGI?