Recent content by keila man

  1. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Magufuli nunueni Kamera muwafunge wafuasi wenu

    yani mtoa mada unatuona humu jf ni watoto mno! mpaka utupikie haka ka hadidhi kauongo? pelekea kahadidh kako watoto wa chekechea. wanaweza wakajua nikweli.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkubwa wa Hadhara Kufanyika Kimara Mwisho,Prof Jay,Sugu na Mh Mnyika kuwasha moto

    raisi mwenyewe ana wakubali wasanii, wewe unawaita wahuni! au haujui kua alienda kuagana nao Juzi!. tukubali tu, wapo wasanii wenye uwezo mkubwa wakutuongoza! kama prof. j! mwanaharakati tangu kipindi cha nyimbo zake za ndio mzee. penye ukweli tukubali.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu hafla ya Kikwete, Magufuli na wasanii huu hapa

    Ww msanii! ! ! unasema raisi aliwaita! mbona tumedanganywa kuwa nyie wasanii ndio mulimualika kwa ajili ya kumuaga?, nakushukuru kwa kusema ukweli msanii wewe.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka CUF Buguruni: Kikao na waandishi chaahirishwa, Lipumba akanusha fununu za kujiuzulu

    usifanye hivyo ndguyangu! udini si jambo jema! lakupublish. mungu akusaidie na akusamehe.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Mbowe siri nzito hadi kubadili mgombea mwadilifu aliyependekezwa CHADEMA

    ufa upi? wananchi tumeona ufa ukoooo ccm kwa vgogo wazito wazito kuhama! huyo dr.slaa akitangaza kuhama rasmi kama alivyo tangaza, bulaya, lembeli, lowasa nawengine tutazungumzia hilo. MIMI MPASUKO sijauona nasikia stori tu. tuwe wapole tusubiri tuone.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa havai vazi rasmi la CHADEMA maarufu kama gwanda?

    Duuh! kwel aisee, mzee alikua havai zle jezi.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mwapachu Kuhusu Lowassa

    Bila kujali nani kaandika. Nimependa nakuelewa vizuri kilicho andikwa.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Pangani jamani tunahitaji maendeleo

    watu wapangani ndio hawataki maendeleo! miaka yote hyo iliyopita mumeona kivuko tuu ndio maendeleo? badilisheni upepo wa uongozi. (hivi stendi ya pangani ilisha jengwa?) niliiona nikasikitika sana.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 ya ulaghai wa CHADEMA kwa wananchi?

    CCM haina chakutuambia wananchi zaidi ya kuamini kuwa LOWASA sio fisadi... haiwezekani afanye ufisadi na miaka yote hiyo kupita aachwe tu! hata mahakamani asipelekwe. NIMEAMINI LOWASA HANA TATIZO! Kwa serekali makini chiniya CCM, lazima ange wajibishwa nakufilisiwa! kwakua hilo halijafanyika...
  10. K

    JamiiForums Tanzania ONYO: Msizuzuke na wingi wa watu majukwaami

    kwahiyo MUNALIPIZIA?
  11. K

    JamiiForums Tanzania ONYO: Msizuzuke na wingi wa watu majukwaami

    Watu wengine bwana!!! Cdm wakiwa na mkutano usipofurika watu "Cdm imekosa mvuto", watu wakifurika "Hawakua na kazi zakufanya" Jamani!!! mbona onyo hili ni baada ya Cdm kufanya mkutano wa kihistoria Mwanza? Watanzania wa leo sio wa jana.. Wanajitambua na haohao WAPINZANI ndio wamewafungua...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri jana kabla mkulu hajaenda kwenye CC

    duh! nimeikubali hyo.
Back
Top Bottom