Recent content by Keifo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mamia Pangani wahamia CHADEMA.

    Karibunii sanaa makamanda tupige kazi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Siasa za CHADEMA hatimaye zaanza kutuchosha wanachama

    Kama umchoka na cdm nenda kwingine mm kama mm bado naikubali sana chama changu cdm
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wapiga kura Monduli wanalia,wanashangaa harambee kwa mamilioni za mbunge wao

    Tatizo wachangiaji wengi wamefika monduli mjini tu halfu wakafikiri kiujumla kuwa hata na huko vijijin hali ni hiyo! hapana monduli kuna shida sanaa kwanza hakuna zahanati karibia vijiji vyote, maji salama ya kunywa hakuna vijiji vyote vya monduli hata pale mjini ni magumashi tu, shule zenyew...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wapiga kura Monduli wanalia,wanashangaa harambee kwa mamilioni za mbunge wao

    kuna maji na je kule vijijin hali vipi monduli ni moja ya wilaya zenye shida nyingi sana kama ndugu yangu alivo orodhesha
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wapiga kura Monduli wanalia,wanashangaa harambee kwa mamilioni za mbunge wao

    Wew unapajua monduli au unachangia tu monduli cyo pale mjini tu hapana nenda vijijin kama utakaa hata siku maji hakuna kabisa zaidi ya maji ya mabwawa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Mbowe na vibaraka wake kwa watanzania

    Magamba bhana bungeni wanaenda kuimba taarab na kupiga uzingizi...kwenye jf nao wanaimba taarab tu mtakoma 2015
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Kwahiyo hayo ndiyo matatizo ya jimboni kwake ama ndiyo kauli yao ya kusema tumechoka
  8. K

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Mbowe na vibaraka wake kwa watanzania

    tatizo ujasema na sababu iliyomfanya asiende safari hiyo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Njombe Kusini waikataa ccm

    Watu wamechoka bhana
  10. K

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Gabriel Kimolo ahamia CHADEMA

    Karibu sanaa kamanda ila asome kwanza katiba ya chama chetu vizuri
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naibu Meya wa Jiji la Arusha ampinga mkurugenzi wa idara ya maji,kuhusu wamiliki wa Hotel za Kitali

    Pigeni kazi makamanda wa kweli
  12. K

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu ambavyo wanafunzi wake wanaongoza kudisco.....!

    Udsm wew mwaka huu ni nomaa kaka
  13. K

    JamiiForums Tanzania Liverpoolfc: Ulionywa kwamba KAUNDIME ni habari ingine ukabisha, sasa kiko wap?

    Huyu LiverpoolFC ni mtambo wa A town nini???? Hivi nitamwonaje????
  14. K

    JamiiForums Tanzania Liverpoolfc: Ulionywa kwamba KAUNDIME ni habari ingine ukabisha, sasa kiko wap?

    Eti baba yako amekuwa kuwadi????
  15. K

    JamiiForums Tanzania Liverpoolfc: Ulionywa kwamba KAUNDIME ni habari ingine ukabisha, sasa kiko wap?

    Hebu nipeni nambari ya huyu Kaundime. Natamani niifanyie kazi please.
Back
Top Bottom