Recent content by kehongo

  1. K

    Mwenye Vitabu vifuatavyo au ajuae wapi naweza kuvipata anisaidie

    vinapatikana TBC na phoenix publisher Nairobi Kenya
  2. K

    CWT kishakufa walimu wanamtafuta msimamia haki zao

    umefanya utafiti juu ya mambo na maoni yako hayo? au unasema tu kwa sababu una kinywa??,
  3. K

    Askofu Kilaini: Nitazirejesha fedha za Rugemalira

    asubiri kwanza maana hata yeye anaweza kusogezwa mahakamani ili ajibu kama alipokea rushwa au sadaka, kweli wasodhambi nao wana kazi kubwa
  4. K

    ESCROW: Hatimaye Tibaijuka, Chenge watumiwa ankara kulipia kodi

    jamani mwl nyerere u wapi baba wa Taifa???? mwizi anaombwa kulipa kodi badala ya kupelekwa mahakani??? je kuna biashara alifanya na kupokea fedha hizo??? je kuna mshahara alipokea anatakiwa kulipa kodi??? mnatuchanganya sanaa ila cheupe ni cheupe na cheusi ni cheusi tu
  5. K

    Siku moja kabla ya kuuwawa Karume aliniambia haya

    Zanzibar ni nchi tambua hivyo ila watanganyija tumesinzua
  6. K

    "Mkichagua wapinzani amani ya nchi itatoweka"

    Tambua kuwa Tanzania kuna utulivu tu c amani,
  7. K

    Vijana wazalendo waliokuwa wanaelekea Ikulu wamekamatwa!

    Huyo DC ni mburura tu hajui chocho atsmbue kuwa ana miezi tu kupata rehema ya raisi au alitaja vijana hao waende ofisini kwake?
  8. K

    Vijana wazalendo waliokuwa wanaelekea Ikulu wamekamatwa!

    Mungu awatangulie vijana hao, mungu amsamehe huyo muua wilaya. vijana hao wamepita wilaya nyingi sana toka Geita hadi magomeni, labda amepewa maagizo na polisi wa Ikulu.swali ni kwamba watashitakiwa au kufunguliwa kesi kwa kosa lipi???
  9. K

    Askofu Nzigilwa: Rugemalira alitoa fedha za matoleo

    Kumbe escrow ni wahisani wa kanisa katoliki??? Rugemalila naye ni mhisani???jamaaa mbona watetea sana askofu??? kesho askofu atawanyoshea vidole wezi wa mali ya umma au atawashangilia????Tafakali
  10. K

    Askofu Nzigilwa: Rugemalira alitoa fedha za matoleo

    msitu ni ule ule na nyani ni wale wale
  11. K

    Askofu Nzigilwa: Rugemalira alitoa fedha za matoleo

    unadhani maoni yako ni ya maana na mhimu sana kuliko ya watu wengine???unaijua mipasho????hongera ngulikila ww
  12. K

    Askofu Nzigilwa: Rugemalira alitoa fedha za matoleo

    waiona mipasho???? hongera sana labda umepata mgao
  13. K

    Askofu Nzigilwa: Rugemalira alitoa fedha za matoleo

    Wananchi wamekuwa na imani na maaskofu ila kwa hili sifuri tu acha kuhadaa watu,mbona maaskofu wa makanisa mengine hawakupewa matoleo hayo???? walimu wanadai shilingi ngapi??? hali ya huduma msingi za binadamu ikoje?? mfano afya, maji, barabara, elimu na mengine??? nyie mwajiita wasodhambi kumbe...
  14. K

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Ridhiwani weka cv yako tuione na ueleze wazi ukuu wa Idara TRA na utajiri wako, Nape weka cv yako wazi tuione ulivyosoma kidato cha tano na sita chuo cha ualimu B utimba
Back
Top Bottom