Recent content by KEFA PATSON

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hivi UDSM kunautaratibu wa kufanya late application, masters degree?

    Habari mkuu, hivi intake ya march 2022 masters application deadline ni lini?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Round one & two majina UDSM kwa ngazi na ya Masters Degree

    Ndugu zangu habari. Naomba kujuzwa intake ya march 2022, masters UDSM deadline lini maana najaribu kuingia kwenye admission site inasuasua sijajua kama nimechelewa au bado na kwenye tovuti yao haionyeshi deadline
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa kwanza wanaripoti UDsm na Ardhi lini?

    Hapa hapa jamani na mimi naomba kujua deadline ya masters application intake ya march 2022. Nimejaribu kuangalia kwenye website haionyeshi deadline.
  4. K

    JamiiForums Tanzania HELI FORKLIFT PARTS

    Hellow in here, please i am looking for a reliable supplier of forklift parts especially for HELI CPCD30/CPCD70 /CPCD100. Nitashukuru sana kwa msaada hata wa mawazo.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Samahani Bibi mikopo nimeuchelewa huu uzi ila sio mbaya kama nikiuliza jambo hapa, mimi ni mwanafunzi niliapply chuo pamoja na mkopo mwaka jana 2014/2015 na nashukuru Mungu nilipata chuo,ila kwa bahati mbaya sikupata mkopo na sababu niliyoikuta nilipoangalia status ni kwamba nilikaa zaidi ya...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nilichosikia kuhusu HESLB

    1)Nimesikia kwamba ukipata asilimia 0% maana yake eti tuition fee hupati hata senti tano ila boom unapata. 2)Pia nimesikia ukikosa mkopo mwaka wa kwanza unaweza ukaomba mwaka unaofuata na ukapata bila ya kujali sababu zilizokufanya ukose mwaka uliopita. 3)Nimesikia pia ili kupata mkopo moja ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania N.I.T selection 2014/2015

    Wale wa equivalent mmeona majina yenu au ndo second batch.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya utamu na faida kibao zipo

    yashuke
  9. K

    JamiiForums Tanzania TCU warahisisha zoezi la kuona selection

    oyaa swap middle name na sir name inaweza ikakubali mi ilishanitokea hiyo inawezekana middlename umeweka kwenye sirname ziswap ucheck.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

    Tarehe 10/11/2014
  11. K

    JamiiForums Tanzania NACTE wafanya mabadiliko

    LOL msaidieni bwana kila mtu anakimbilio lake, jamaa hapa ndo kapachagua.
  12. K

    JamiiForums Tanzania NACTE kutoa majina kuanzia kesho

    Hakuna haja ya link hapo mi mwenyewe narelease majina kibao tu jioni wala msijali.
  13. K

    JamiiForums Tanzania NACTE kutoa majina kuanzia kesho

    www.porojombuzi.com
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba mwalimu

    Sasa mimi kwenye swala la 'kiki' ndo noma hawa Jamaa wengine naona hawajakuelewa kuna jambo umeficha hapo.
Back
Top Bottom