Recent content by KEFA HILLARY

  1. KEFA HILLARY

    JamiiForums Tanzania Wanaume mjitahidi kuturidhisha

    Njoo inbox nikupe mbinu
  2. KEFA HILLARY

    JamiiForums Tanzania Jokate na Lulandala kuimaliza CHADEMA! Nawaamini kwa mipango na Propaganda

    Jesca huyu huyu au
  3. KEFA HILLARY

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani Rais kujaza wanasheria kwenye Baraza la Mawaziri?

    Thubutu waende Kule wakapate Aibu watakutana na junior lawyers watawatoa jasho na makaratasi Yao ya UDSM
  4. KEFA HILLARY

    JamiiForums Tanzania Shamira Mshangama aliyetoa hoja ya MKE kulipwa kwa kazi za ndani ana upeo mdogo wa kufikiri. Mke kulipwa ndio kutamfanya awe Housegirl haswa

    Shamira ni mwana ccm kindakindaki na Ile ilikuwa ni kiki tu Kwa ajili ya kuzima hukumu ya mbeya
  5. KEFA HILLARY

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mdude Nyagali akataa kuandika Maelezo Kituo cha Polisi, asema atayatoa Mahakamani

    Inaelekea unapenda kumwaga damu ya mtu
  6. KEFA HILLARY

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa likizo Mbalimbali kwa mujibu wa Sheria ya kazi

    Tatizo unakuta mtu ni HR wa kampuni na hajui Sheria na miongozo ya haki za wafanyakazi anafanya kazi Kwa mazoea tu
  7. KEFA HILLARY

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na kazi unayofanya ipi ni kazi utakayoienjoy endapo ukipewa nafasi au ukiachishwa kazi

    Uje tukupe mzigo wa sulpher ukirudi urudi na copper Toka Zambia [emoji23][emoji23]
  8. KEFA HILLARY

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa NHC aiomba Serikali iruhusu wageni kumiliki Ardhi ili kukuza uwekezaji

    Cha ajabu viongozi hao ukiwaambia kuhusu uraia pacha wanakuruka futu 100 na sababu za kiusalama kibao
  9. KEFA HILLARY

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa NHC aiomba Serikali iruhusu wageni kumiliki Ardhi ili kukuza uwekezaji

    Pia wasijizime data waruhusu uraia pacha
  10. KEFA HILLARY

    JamiiForums Tanzania Petroli na Diesel bei Juu. Dola yaelezwa kuwa sababu ya bei kupaa

    Nina swali Kwa Wana jamii forum Kwa ujumla nakumbuka wakati vita vya uvamizi wa urusi bei ya mafuta ilipanda sana kwenye soko la Dunia huku kwetu napo ilipanda pia lakini serikali walikuja na mbinu Yao moja walioipigia kampeni ya Kwamba mama kapunguza mfumuko wa bei ya mafuta Kwa kutoa shilingi...
  11. KEFA HILLARY

    JamiiForums Tanzania Aliyemuua, kumtupa mwanafunzi UDOM ahukumiwa kunyongwa

    Uvumilivu ulimshinda dada wa watu
  12. KEFA HILLARY

    JamiiForums Tanzania Nusu ya Madaktari wafeli mtihani. Serikali acheni kudahili vilaza wa "D" kwenye taaluma inayogusa uhai wetu

    Duuh rudi ujazie nyama kidogo kuhusu hii ishu
  13. KEFA HILLARY

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali ataka kumfutia Leseni ya Uwakili Wakili Mwabukusi aliyefungua kesi kupinga mkataba wa DP World

    Waliolifikisha taifa letu kwenye mikataba mibovu lini waliwahi kushughulikiwa au mnachagua upande tu
  14. KEFA HILLARY

    JamiiForums Tanzania CCM yaamua kutuma meseji kwa kila Mtanzania kuwakataa wanaopinga mkataba wa kuuzwa kwa bandari zetu

    Kaka Pasco ili kitu kiwe kimeuzwa mpaka kiwaje
Back
Top Bottom