Jamaa akanunua sabuni maarufu iitwayo OGESHA ilikuwa inatangazwa mno kwenye radio, TV na magazeti. Akafika home usiku, kama kawaida kuna mgawo wa umeme na watu kibao wanaoga, akaamua aogee kwenye choo cha shimo. Huku akioga akawa anaimba 'ogesha, ogeshaaaaaaaa, ogeshaaaa' mpaka mwili mzima ukawa...