Recent content by KBO B5

  1. KBO B5

    JamiiForums Tanzania Katika hii Safari nimejionea maajabu Makubwa sana

    Endelea kuzimia utakuta wajukuu
  2. KBO B5

    JamiiForums Tanzania DAWASA na hujuma ya maji Kibamba Kibwegere

    Yani kiukweli kibamba wasoma mita ni wezi na wahuni
  3. KBO B5

    JamiiForums Tanzania GE2020 Issa Mtemvu, Kibamba inakuhitaji sana

    Kibamba IPI inamhitaji acha upuuzi wewe
  4. KBO B5

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Hivi Tume mbona haitoi ratiba?
  5. KBO B5

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nani anafahamu wasifu wa Amani Golugwa meneja kampeni wa Tundu A. Lissu?

    Sio kweli wala hajawahi kuwa ccm
  6. KBO B5

    JamiiForums Tanzania NEC igeni CCM jinsi ya kuhesabu kura. CCM mmeonyesha mfano

    Ccm hawathubutu huo mchezo
  7. KBO B5

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Faili la Lissu halitafungwa. Akirudi tu, tunamkaba kwa ajili ya upelelezi

    Uliza kwanza nani aliondoa walinzi wa serikali pale
  8. KBO B5

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo picha Zanzibar CCM Urais itachezwa

    Umewaza vizuri ila hujapanua wigo, hivi unadhani kwa kizazi cha sasa kuna mzanzibar atakua rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania??? Hicho kitu wakijaribu ccm watakua wamechimbia kaburi wenyewe na sidhani kamawatafanya hilo kosa
  9. KBO B5

    JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar yakaribisha wanaccm kuchukua fomu za Urais, yasema uteuzi utafanyika Dodoma siyo Unguja

    Bora kusiwe na rais wa Zanzibar ibaki Tanzania tu
  10. KBO B5

    JamiiForums Tanzania Msekwa awashangaa wanaotaka Magufuli aongezewe muda wa Urais

    Msekwa haaminiki hata kidogo ni kigeugeu sana
  11. KBO B5

    JamiiForums Tanzania Urais wa Maisha: Baraza la Maaskofu na Kadinali Pengo wapo?

    Mimi ni mkatoliki ila viongozi wetu ni wabaguzi sana angekua mwislamu tungekoma
  12. KBO B5

    JamiiForums Tanzania BAKWATA: Misikiti iliyofungwa ifunguliwe watu waswali. Corona imepungua sana na Rais kasisitiza hapa kazi tu

    Yetu macho ikifika 7 june tutakua na majibu
Back
Top Bottom