Zanzibar 2020 Hivi ndivyo picha Zanzibar CCM Urais itachezwa

Mzanzibar awe rais wa JMT? Labda Kama CCM itakuwa tayari kupoteza hicho kiti. Yaani watia Nia 40 halafu wakatwe wote abaki mzanzibar? Siyo rahisi. Watanganyika watakuwa tayari kumpa hata musukuma wa geita na siyo mzanzibar.
Sasa kama ni fair play siku moja Znz imchague mtu wa bara awe rais wa Znz wao wanataka ya muungano ya kwao Ahaaa
 
Umewaza vizuri ila hujapanua wigo, hivi unadhani kwa kizazi cha sasa kuna mzanzibar atakua rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania??? Hicho kitu wakijaribu ccm watakua wamechimbia kaburi wenyewe na sidhani kamawatafanya hilo kosa
 
Hata mimi sioni uwezekano huo na pia sitakiiiii
 
Siwezi sema nime fail while unajuwa msiba umetukuta. Msiba ambao even me niliutabiei japo sikujuwa ungetokea pia Na ule mpango wakuongeza miaka yakutawala kwa Rais alie tutoka.
Kwahiyo Mkuu duru zipoje kwasasa?
 
Back
Top Bottom