Recent content by kazy

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Taasisi yenye mkopo wenye riba nafuu

    Habari, kwa watumishi wa umma ambao wamefanya huduma ya kukopa kwenye mfumo wa ESS naomba kujua ni taasisi gani ya fedha ina marejesho na riba nzuri?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Gamers, game gani zuri kwa upande wa PS4 kwa ajili ya kupambana?

    Gamers kwema, nina PS4. Nahitaji game la vita zuri kwa ajili ya online. Nimetokea kulipenda sana Warzone, ila halikubali kwenye PS4; ni la PS5 tu. Hivyo, naomba msaada, game gani zuri kwa upande wa PS4 kwa ajili ya kupambana?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Oil sahihi ya subaru SJ5

    kwa hyo unataka kuniambia W20 ni nyepesi sana haifai,mhh wakati wenyewe ndio wamerecommend itumike kwenye gari yao mh nina mashaka.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Oil sahihi ya subaru SJ5

    Wadau heshima kwenu,mgeni kidogo hapa,msaada tutani nina sj 5 na kwenye kizibo oil inayotakiwa nimeona ni OW 20,na nimekuta kuna kampuni mbili aina ya alphard titanic ila nimeshangazwa sana na utofauti wa bei wa hizi kampuni mbili titanic nimeambiwa ni 150 wakati alphard ni 55,000 naomba...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Maskini Trump amenywea sana kwenye vita vya kibiashara. Aibembeleza China, nayo yamtolea kwa mbali

    mleta hizo picha hajielewi ,bila ya shaka ana mtindio wa ubongo
  6. K

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI HOMETHETRE

    mzee 700k used duh mbona mpya ni 750 tu?
  7. K

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI HOMETHETRE

    Habari wakuu,nahitaji hometheatre used iwe nzuri na iwe na muonekano mzuri nahitaji 5.1 ,kampuni yoyote ila ikiwa Lg itapendeza zaidi.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    let us be honest to ourselves,IDF imeizidi mbali hezbollah ila pia hezbollah kuna developments nyingi sana amezipiga hasa za kiteknlojia lakini haiondoi ukweli kuwa izraeli yuko juu ya proxies zote zilizopo middlea east, waarabu wana kazi ya ziada ya kufanya
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa ushabiki, basi shambulio la Israel la simu za mkononi nchini Lebanon ni shambulio lililofeli na la aibu sana

    vita hushindiwa kwa kushinda mapambano madogo madogo ,hivyo israel juiingilia vifaa vya mawasiliano vya kilebanoni na kuvilioua na kupelekea opponent wake kujeruhiwa na wengine kufa hayo ni mafanikio sana kwake,tuwe wa wazi.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Kusini mwa Lebanon wamepokea SMS zikiwataka kuhama kwenye nyumba zao

    waarabu hawana akili yaani anapigwa mmoja baada ya mwingine wao wanakaa wanaaglia tu hawachukui action yoyote.STUPID.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania zaidi ya mara tatu na kusamehe, nimemuambia kumuoa anakataa

    itoe hiyo namba katika publich huo sio uungwana hata kidogo.unatoa namba ya mtu tena bila ya ridhaa yake kwenye poublic
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania zaidi ya mara tatu na kusamehe, nimemuambia kumuoa anakataa

    mimi nilichogundua ni kuwa huyo demu ni fundi wa mapenzi kitandani hivyo jamaa hana ujanja,ila all in all he is among the dumbest person in JF maana tatizo analijua na anashindwa kulitatua,poor him.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu alinidanganya umri

    ULIANZAJE KIANGALIA CHETI CHAKE?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Martin Kadinda na mkewe, mashallah

    WEWE ULISHAWAHI KUMUONA MARTIN KADINDA?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ramani ya vyumba vitatu

    njoo DM NIKUPE RAMANI FREE OF CHARGE,NZURI KABISA
Back
Top Bottom