Recent content by kazuramimba

  1. K

    JamiiForums Tanzania Manzese kwanini haiendelei?

    Wakuu, Manzese ni moja kati ya kata za kitambo sana, 1975 tayari ilikuwa ni kata kamili yenye miundombinu inayoekeweka, ndio eneo la kwanza Tanzania kuwa na Daraja la wavuka Kwa miguu ambalo liligeuka kuwa kivutio enzi zile, Kwa miaka mingi manzese imekuwa kitovu cha biashara, burudani Na soko...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ubungo Riverside na biashara ya ukahaba mpaka lini?

    Khaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ubungo Riverside na biashara ya ukahaba mpaka lini?

    [emoji1324][emoji1324][emoji1324]
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ubungo Riverside na biashara ya ukahaba mpaka lini?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ubungo Riverside na biashara ya ukahaba mpaka lini?

    Khaaaaa!!! [emoji1324][emoji1324][emoji1324]
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ubungo Riverside na biashara ya ukahaba mpaka lini?

    Mkuu mimi sitafuti views na wala siishi kwa views! Nina onyesha changamoto tulizo nazo kwenye jamii na namna gani tunaweza tafuta jawabu la pamoja ili kuokoa kizazi kijacho. Kumbuka kesho Na kesho kutwa mtoto wako au ndugu Yako anaweza dumbukia kwenye hii changamoto hivyo zungumza kama mtu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ubungo Riverside na biashara ya ukahaba mpaka lini?

    Wakuu, Inasiikitisha kuona eneo la Ubungo River Side kukizidi kukua na kushamiri biashara ya ukahaba tena mapema yaani kuanzia mida ya kumi na moja jioni. Mbaya zaidi watoto wadogo Na wanafunzi ndo unakuta wanapita hapo kutoka mashuleni ambapo kukutana na hawa dada zao na wengine wakiwa ni sawa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya nyumba 100 zimetelekezwa hapa ununio kwa zaidi ya miaka 12 sasa. Je, nini kiliukumba huu mradi?

    Sasa kama ulikuwa mradi wa maharamia wa kisomalia basi wangeubakisha hata kwa serekali pageuzwe ile hata chuo cha uvuvi jamani kuliko kuyaacha yaendelee kuoza
  9. K

    JamiiForums Tanzania Quality Mall inasikitisha, maduka mengi yamefungwa

    Hivi matajiri wakikomolewa kwa kuharibiwa biashara zao ni wao ndo wanao taabika au watu wakawaida walio waajiri?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya nyumba 100 zimetelekezwa hapa ununio kwa zaidi ya miaka 12 sasa. Je, nini kiliukumba huu mradi?

    Doh!!! Sasa hiyo kesi haijaisha tu bado? Maana mradi wake unazidi kuteketea aisee!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya nyumba 100 zimetelekezwa hapa ununio kwa zaidi ya miaka 12 sasa. Je, nini kiliukumba huu mradi?

    Wadau kwema jamvini. Huu mradi mkubwa kabisa hapa Ununio beach ambao umetelekezwa kwa zaidi ya miaka 12 sasa nini tatizo? Kuna tetesi nyingi sana ila jibu la uhakika hakuna. Nimeona kwa hii clip hapa Nikakumbuka na mimi nimekuwa nikijiuliza swali hilo kwa miaka mingi sasa.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Quality Mall inasikitisha, maduka mengi yamefungwa

    Au wampe mwamposa alifanye sehemu ya kuabudia[emoji23]
  13. K

    JamiiForums Tanzania Quality Mall inasikitisha, maduka mengi yamefungwa

    Doh!! Mkuu umeandika haswa!! Aiseee kumbe hii ngoma ni nzito kweli kweli
  14. K

    JamiiForums Tanzania Quality Mall inasikitisha, maduka mengi yamefungwa

    Naikumbuka Savana Lounge ilikuwa ni nouma! Sasa hivi lile eneo limekuwa kama ghost house! Panatisha mno
  15. K

    JamiiForums Tanzania Quality Mall inasikitisha, maduka mengi yamefungwa

    Acha tu mkuu yaani Quality centre mall ilikuwa tamu sana ila sasa hivi ni kama jumba la mashetani! Baada ya kuiona hiyo clip moyo umeniuma sana.
Back
Top Bottom